karatasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IEBC Yatangaza Rangi za Karatasi za Kura za Uchaguzi wa 2027

    Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC) imetangaza rangi za karatasi za kura na vifuniko vya masanduku ya kura zitakazotumika katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kila nafasi kati ya sita za uchaguzi itakuwa na rangi yake: Rais: Nyeupe Mbunge: Kijani Seneta: Njano Gavana: Bluu hafifu Mwakilishi wa...
  2. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Elimu ya juu ya Sekondari (A-Level) ni elimu bure kweli au kwa makaratasi?

    Ninaomba mamlaka husika zitafakari hali halisi ya elimu ya kidato cha tano na sita nchini. Serikali imekuwa ikisema elimu ni bure, lakini ukweli uliopo mashuleni ni tofauti kabisa hasa kwa watoto wa familia za wakulima na wenye kipato cha chini. Mahitaji yanayotolewa wakati wa kuripoti shule...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Karatasi za kufuta laana

    Story ya kweii yenye mafumbo. Sehemu ya kwanza.... Dar es Salaam ina siri nzito. Unaweza kudhani unaijua kwa sababu unatembea mitaa ya Posta, Kariakoo, au Masaki mchana, lakini ukweli ni kwamba hujui kitu. Chini ya taa za jiji hili, kuna milango isiyoonekana na macho ya kawaida. Milango...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mkoba uliobeba karatasi za bajeti ya Afya ya mwaka ni Tsh. 13 million, mikoba miwili ni sawa na Tsh 26 million

    Kwa exchange rate ya leo, dola 1 ni takribani TZS 2,605. $5,000 ≈ TZS 13,025,000 (milioni 13 na elfu 25)
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mussa Zungu: Wabunge mnaoleta michango kwa Karatasi, mnachafua Mazingira

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge kuacha kutumia makaratasi wanapofanya shughuliza kibunge. Amesema kitendo cha kutumia karatasi ni uchafuzi wa mazingira hivyo wabunge watumie mifumo ya kidijitali katika kutekeleza majukumu yao ya kibunge.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi kabla hujatupa karatasi yoyote yenye taarifa binafsi...

    Nyaraka hizi zikiangukia mikono mbaya, zinaweza kutumika kwa utapeli (identity theft), kuibiwa pesa, au kuharibu sifa ya mtu/kampuni. Chanachana (Shredding): ✂️ Hii ndio njia salama zaidi. Ikiwa huna mashine ya "shredder" ofisini au nyumbani, hakikisha unachana karatasi hizo vipande vidogo...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
  9. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Wasimamizi wa Uchaguzi Walipewa Maelekezo Wamtiki "Samia" Katika Karatasi za Kupigia Kura (Video za Ushahidi Zipo)

    Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa Instagram, "Wasimamizi wa uchaguzi walikuwa wanatiki wenyewe na sasa wameaniza kunitumia video walivyokuwa wanatiki. Na kwenye semina walikuwa wanaambiwa kabisa kama kituo chako kina watu 400 lazma urudishe kura 400 za Samia."
  10. Mkuu Damballa

    JamiiForums Tanzania Kilo Mia nne karatasi used Kwa recycle kutengeneza tissue paper

    EE Bwana ee Nina Kama Sheena ya karatasi ambazo unaweza kutumia Kama recycling kutengeneza tissue paper au matumizi mengine Kwa wanaoitaji muhimu NI kuelewa NI kitu gani ninauza .hizi karatasi sio magazeti na ninazo Kama kilo Mia nne hivi plus. Kama utakuwa interest NI PM na muhimu zaidi...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo

    Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo. Hatupigi kura wala hakuna uchaguzi unaofanyika bila mabadiliko unaongelea masuala ya kuchana karatasi lakini kuiba kura uongelei ? Kama mnataka...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Mabasi Mbeya hauzingatii ratiba, wanatoa tiketi za karatasi na baadhi ya madereva wanalewa

    Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu. Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani iliyopewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo tenda ya kuchapisha karatasi za kupiga kura?

    Ikiwa imebaki miezi mitano tu mpaka uchaguzi ufanyike bila shaka maandalizi kabambe yatakuwa yameshaanza, Je ni kampuni gani walipewa tenda ya vifaa vya uchaguzi ikiwemo karatasi za kupiga kura?
  15. SuperHb

    JamiiForums Tanzania KUNA KIMFUKO KIDOGO CHA KARATASI NIMEKIKITA KWENYE MKOBA WA MKE WANGU

    Habari zenu? Kuna kitu kimenipa mashaka,,nilikuwa napanga vitu ndani, ghafla MKOBA WA MKE WANGU ukawa umedondoka,,Kuna KIMFUKO Cha nailoni kulikuwa kimefungwa fundo kilitoka kwenye MKOBA wake,, kiukweli kimenipa Wasiwasi,,,nilikifungua ndani yake Kuna kama unga unga hivi wa kahawia, kiukweli...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia njia Gani kuharibu Nyaraka na Karatasi zenye Taarifa zako binafsi?

    Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

    Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani. CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania. Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele. CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jipsum board zenye karatasi kwa akili ya nyumba zinazovuja

    Wadau leo nimeambiwa na mtu kuwa eti kuna jipsum board zenye karatasi ya nylon kwa juu ili kusaidia km bati linavuja basi maji yasiingie ndani ya jipsum board na kuharibika. Binafsi hii material sikutishi kuona, jeo ni kweli kuna jipsum board za aina hiyo. Km zipo bei zake zikoje. Mwenye kijua...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hii pesa ya Iran ikoje.? Mbona kama karatasi tu wakati wanatumia pesa nyingi kufadhili ugaidi..😲😲

    CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi. Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni...
Back
Top Bottom