The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
Feedback ndiyo mrejesho??
Shukrani sana kwa feedback mkuu wangu
Shukrani sana kwa feedback mkuu wangu
Shortcut unaijua mkuu??Nimemshangaa sana Jamaa Shortcut kuita App, alafu anataka kuiondoa App za Google Store
Sumu au simu?Hii button ilikua kikwazo sana ktk kuiuza hii sumu ila nashukuru leo nimepata ufumbuzi mana mnunuzi nitamuambia back button imekufa lkn sio shida mana kuna hii yakudanlod naipo vzr tu
Hii app mpya ni short cut ya kufungua jf kwa kutumia browser.Shortcut unaijua mkuu??
Nauliza tena, shortcut tangu lini ikawa installed???
Browser na enjoy kinyamaApp mizinguo niliipakua haina maajabu zaidi ya kujaza space tu. Baki kwenye browser tu
mazoea mkuuSijawahi kufurahia app.
Nipo na browser na napata ladha zote.....kwan nn kinachokuweka huko kwenye app tukushauri?
Nilifikiri ni simu yangu tu. Kumbe ni app??!!Maxence Melo kiongozi hili ni tatizo la wengi na lipo mda mrefu sana
Sijui kwanini halifanyiwi ufumbuzi?
Komaa na browser ni tamu sana . Hakuna cha kupotezamazoea mkuu
browser inanishinda hata App yao ya browser inanishinda yaan
natumia browser app ikiwa nahitaji kuangalia attachment ya video kwa mtindo wa kucopy thread link
We ndo unateseka kuliko wotemazoea mkuu
browser inanishinda hata App yao ya browser inanishinda yaan
natumia browser app ikiwa nahitaji kuangalia attachment ya video kwa mtindo wa kucopy thread link