feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 6,805
- 12,669
Nakazia halafu Wala hawajali ila yana mwisho haya ipo siku itatokea app bora na tutaipiga chini.App yenu ina bugs za kutosha tu. Mlifikiria nini kutengeneza app kama hii kwa kutumia php? Hiyo sio language Inayo weza kumaintain functionality zote hizi. Nawashauri mfanye redesigning tumieni Flutter au react native.
App mpaka saivi haioneshi pics
App haitoi notifications
Baadhi ya threads hazifinguki.