moderator

  1. BelegheTV

    Video & photo journalist, editor, tx operator, youtube & instagram moderator, straeming live on television, youtube & instagram, content creator

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5. Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu...
  2. crankshaft

    Kama Mungu alimuumba Adam na Hawa katika asili ya muafrika, hawa wazungu, wachina, wahindi watakuwa wametoka wapi?

    Kwa mujibu wa special creation theory ni kwamba wanadamu Waliumbwa na Mungu katika namna ambayo wapo Leo. Baada ya uumbaji waliambiwa wakazae ambapo walitumia njia ya sexual reproduction. Ukuaji wa sayansi katika biology specifically katika genetics umeonesha kwamba wazazi Wana influence katika...
  3. benzemah

    Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  4. P

    Balile kutetea Serikali mkutano wa Waziri Mbarawa anathibitisha bahasha zimepita kwa Waandishi wa Habari?

    Wakuu, Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa. Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World...
  5. Komeo Lachuma

    Kwa kweli nawaahidi Kuwa Mtafurahi sana nyie warembo. Wanaume ndo Mkae kwa Utulivu sasa maana nitawashukia vibaya.

    Natamani nikiwa mkubwa niwe moderator wa JF. nitafurahi. Nitawachakata sana wadada wa humu. Sana. Ukinikataa basi nakutafutia ban anytime. Nikiona tu umeangalia vibaya thread ya mtu nakupiga ban mwezi au miezi kadhaa. Jichanganye umsonye mtu humu. Nakupiga ban ya mwaka. Nitakuwa tu...
  6. Checnoris

    Ni swali Kwa moderator au Mh. Mmliki wa JF

    Udom ina special thread/uzi wake nilitokea kuuona humu. Kwa nini haujawekewa 📌 sticky Ielekeweke umuhimu na heshima ya Chuo hili inabaki mokononi mwenu. Tunaomba thread Ile iwekewe pin. Uzi huu udom
  7. Lee

    USSD PROBLEM, kwenye sumsung Z ford 2

    Wakuu msaada tutani ,nina changamoto ya kuingia menu kwa simu ya Samsung Galaxy Z ford 2 nimanisha mfano kuingia kwenye tigo pesa au mpesa kwa menu yake , kuunga vifurushi n.k tatizo limeanza ghafla ...
  8. L

    Biashara ya nazi

    Biashara ya Nazi. Habari zenu wakuuu Naomba msaad wa maelekezo na ushauri wenu kuhusiana na biashara ya Nazi, Nazi nitakua nazitolea kilwa. 1. Naomba mnijuze kuhusu soko la Nazi jijini Dar es Salaam kwa jumla na rejareja. 2. Pia kama Kuna viwanda vyovyote ambavyo huwa vinahitaji nazi Kama...
Back
Top Bottom