Maxence Melo nimejaribu kutumia hiyo app yenu mpya ila imenishinda kabisa. Yaani haina mvuto.... Nimeamua kurudi zangu kwenye app ya zamani. Ombi langu tafadhalini sana msiiondoe app ya zamani huko playstore. Yani siku mkiiondoa nahisi ndo utakuwa mwisho wangu hapa JamiiForums.

Ahsante.
 
Hii button ilikua kikwazo sana ktk kuiuza hii sumu ila nashukuru leo nimepata ufumbuzi mana mnunuzi nitamuambia back button imekufa lkn sio shida mana kuna hii yakudanlod naipo vzr tu
Sumu au simu?
 
Shortcut unaijua mkuu??

Nauliza tena, shortcut tangu lini ikawa installed???
Hii app mpya ni short cut ya kufungua jf kwa kutumia browser.
Ni sawa tu umefungua kutumia chrome au browser yoyote nyingine .
Jf app ya zamani iendelee kubaki
 
Asante sana, binafsi ninahitaji unieweke pia jukwaa la dini kuna habari za kiroho nataka kujifunza huko mkuu
 
Sijawahi kufurahia app.
Nipo na browser na napata ladha zote.....kwan nn kinachokuweka huko kwenye app tukushauri?
mazoea mkuu
browser inanishinda hata App yao ya browser inanishinda yaan
natumia browser app ikiwa nahitaji kuangalia attachment ya video kwa mtindo wa kucopy thread link
 
132 Reactions
Reply
Back
Top Bottom