Toka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.

Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Ulipojiunga JamiiForums mara ya Kwanza ulitushirikisha Members wote hapa au hata Kuushukuru Uongozi wa JamiiForums kwa huu Mitandao wao? Miswahili bhana...!!!!
 
mazoea mkuu
browser inanishinda hata App yao ya browser inanishinda yaan
natumia browser app ikiwa nahitaji kuangalia attachment ya video kwa mtindo wa kucopy thread link
I see. Lakini mwisho wa siku bado uko JF, hadi raha. Hatoki mtu 😀 😀 😀 😀
 
Toka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.

Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Hili tatizo hata Mimi ninalo
 
Ulipojiunga JamiiForums mara ya Kwanza ulitushirikisha Members wote hapa au hata Kuushukuru Uongozi wa JamiiForums kwa huu Mitandao wao? Miswahili bhana...!!!!
Funika ujinga wako kidogo, kwani hili jukwaa ni la nini? Acha ushamba wewe
 
Toka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.

Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Browser inanigomea kuupload picha.

Naichukia hapo tu.
 
Toka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.

Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Kweli aise attachment hazifunguki mimi pia natumia browser
 
Yani hii APP kinachonikera mimi ni repetition of topics. Unaweza ukascroll kwa dakika kumi, topic (thread) nne tu ndo zinajirudia na wakati zipo kibao ambazo hazionekani kwa kutopata airtime.

Ukitumia browser ndo unaona threads za kutosha
 
Wakuu nadhani kuna kitu hakijawa sawa kwa wengi...

Ni miezi michache iliyopita JF walikuja na extension ya JF ambayo inafunguka kama app lakini ikiwa na mandhari ya JF kama kwenye browser...

Screenshot_20210902-221230~2.png

Yani nina kama dakika 40 nimeachana na app ya JF sababu sio user friend nakuta kumbe kuna watu wameona tatizo pia.

Kwa kweli ile app hainogi. Nimerudi zangu kwa app ya play store tu
 
Back
Top Bottom