Rekodi mpya: Jamii Forums yafikiwa na wasomaji milion 20

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,928
Hayo yalijiri jana tarehe 7.10 kwenye hafla ya utoaji zawadi washindi wa shindano la tatu la STORY OF CHANGE iliyofanyika hotel ya Kilimanjaro

Aliyekuwa mgeni rasmi balozi wa Sweden alitanabahisha hilo kwamba wasomaji na watembeleaji wa JF wameongezeka maradufu kwa miaka mitatu iliyopita na kuifanya JF jukwaa linalotumia Kiswahili kuwa na wasomaji wengi zaidi na namba moja duniani

Kwamba JamiiForums inashika namba moja duniani kama jukwaa mtandao la kijamii linalotumia lugha msingi ya Kiswahili kutembelewa na watu wengi zaidi duniani kwa idadi inayokisiwa kufikia milion ishirini (20,000,000)

Tunakuwa wachoyo wa shukrani tusipawapongeza na kuwapa maua yao
Wamiliki waanzilishi wa JF
Body members
Wafanyakazi wote kwa nafasi zao (bila kuwasahau moderators
Marafiki wote wa JF
Asasi saidizi
Wanachama wote wa JF
Wasomaji na watembeleaji wote wa mtandao huu wa kijamii wa kipekee na wa aina yake Tanzania, Afrika na duniani katika ujumla wake

Hilo halingewezekana kama si
Maono sahihi
Kujituma
Kujitoa
Nidhamu
Ukweli na uaminifu kwa kila mmoja aliyekuwa na nafasi yake kiitifaki ndani ya JamiiForums
Mgeni rasmi kwenye hotuba yake ya kiingereza aliongea mengi mazuri lakini MOJA kubwa lililonigusa mimi ni pale alipomwambia Mwanzilishi mwenza wa JF mkuu Maxence Melo WE TRUST YOU yaani TUNAKUAMINI Hili kwangu lilikuwa kubwa sana kwakuwa ndani ya JF tumekuwa na masomo si haba juu ya uaminifu, dhima ya kuaminiwa na kuaminika na matunda hasi ya kukosa uaminifu ama kuaminika!

Hafla ilikuwa nzuri kwa kila kitu na hii yote ni kutokana na matunda chanya ya uaminifu na kuaminiwa
Waalikwa wa viwango tofauti walikuwepo
Viongozi wa kiserikali
Mabalozi mbalimbali
Asasi za kiraia
Wasanii
Wanachama wa JF na wageni waalikwa kwa nafasi zao

Hafla hii ilithibitisha mambo kadha
JF ni mtandao wa kipekee Tanzania tegemewa na wengi vijana, wanasiasa viongozi mbalimbali, wasanii watu wa imani zote nknk
JF ni chanzo cha kuaminika cha habari mbalimbali kwa watu wengi mno
JF ni kama mahali pa kuondolea mawazo kupata mawazo mapya, elimu mbadala, maswala mtambuka ya kitaifa nknk
JF ni asasi kichocheo ya kufundisha kukuza kueneza lugha adhimu ya Kiswahili ndani na nje ya Tanzania
JF ni jukwaa mtandao asasi ya kiraia inayofanya kazi na organ za serikali kama
Mamlaka ya mapato
Mamlaka ya maji
Takukuru
Tanesco nknk

Nina mengi ya kuandika lakini bado hayawezi kutosha kuielezea JF katika ubora wake tukuka na uhalisia kama ilivyoonekana jana kwenye tukio husika

Rai yangu kwa wote watakasoma uzi huu ni kuwa na fikra mtambuka kila tutakachokuwa tunakiandika hapa.. Maana kinasomwa na wengi mnoo ...

Mwisho nawapongeza washindi wote kwa makala zao nzuri
Nawapongeza washiriki wote pia.. Haya ni mashindano tusingeweza kushinda wote
Viva JF

Kwako Maxence Melo WE TRUST YOU! TUNAKUAMINI! Wewe na crew yote ya JamiiForums
tapatalk_1519969548904.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yalijiri jana tarehe 7.10 kwenye hafla ya utoaji zawadi washindi wa shindano la tatu la STORY OF CHANGE iliyofanyika hotel ya Kilimanjaro

Aliyekuwa mgeni rasmi balozi wa (Finland?) Nitasahihishwa kama nimekoseaalitanabahisha hilo kwamba wasomaji na watembeleaji wa JF wameongezeka maradufu kwa miaka mitatu iliyopita na kuifanya JF jukwaa linalotumia Kiswahili kuwa na wasomaji wengi zaidi na namba moja duniani

Kwako Maxence Melo WE TRUST YOU! TUNAKUAMINI! Wewe na crew yote ya JamiiForums View attachment 2775738

Proud to be part of this success
 
Back
Top Bottom