Toka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.

Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Mi nimiona tuu link siingii maana najua siwezi pata kitu na hiyo browser binafsi imenishinda ina makorokoro mengi mno
 
Na hakuna kinachouma kama unavonyeza link uone ni kitu gani ukibofya tuu inakuketea menu ja jf
Nilifikiri ni mimi tu napata shida hii, nikadhani ni kwa vile mimi ni mzee niliyepitwa na wakati - kumbe ni shida ya wengi!
 
Sijawahi kufurahia app.
Nipo na browser na napata ladha zote.....kwan nn kinachokuweka huko kwenye app tukushauri?
Hakuna cha ajabu kule, nilidhani itakuwa user friendly lakini hakuna maajabu. Nishaondoa kwenye simu yangu.
 
Ukiacha kutofungua attachments sijaona tatizo lingine.
Yaani wewe unadhani hilo tatizo dogo? Embu fikiria zile enzi za JUKWAA PENDWA, ndo unataka kufungua uone mchele laivu ndo inaleta habari za kucopy link, inakera kiukweli
 
Mbna kwangu sioni sehemu ya install app?
Screenshot_20210831-200324.jpeg
 
Back
Top Bottom