Maxence Melo
Reaction score
3,908

Profile posts Latest activity Postings About

 • Inog01
  Mkuu nimekuwa nikitembelea jf kwa mda mrefu sasa,tangu 2013 but nimekuwa member lasmi mwaka Jana.Nafurahi na nawapongeza .Kiku bwa has a nikuwapongeza kwa creativity hii japo nadhani naweza kuwa nimechelewa kuzitoa ila nimeona nasitahili kufanya hivo ,kwani jf ndo mahala ambapo panatoa elimu,na maarifa,ukiacha burudani,sijawahi kujutia kuifahamu jf,najivunia kuwepo humu,always I will be here.Ahsante
  JAMII-ASM
  Mkuu,heshima yako. Naona bado mnaweka sawa muonekano wa w/site. Ila hizi signature za members zinachanganya kidogo. There is a very thin line between a post and member's signature. Labda huu mstari uwe bold kidogo. Au hiyo sehemu ya signature iwe of a different color all together.
  mickey.T
  people are i need of this light and here i am ready to shine it to them just need direction
  mickey.T
  I FEAR I MIGHT GET BANNED THATS WHY I HAVE TO LETS SAY ENQURE KWANZA KAMA ITS OKAY TO DO IT
  mickey.T
  HELO MR. I AM AN INTERNET MARKETER, NA NINGEPENDA KUSAMBAZA ELIMU HII KWA MEMBERS WENZANGU HAPA NAOMBA UNIPE MUONGOZO IN WHICH FORUM SHOULD I DO IT. ITS ALL FOR FREE [SHARING IS CARING]
  Maxence Melo
  Maxence Melo
  Have you ever been banned kwa kufanya hivi?
  • Thanks
  Reactions: snead
  M
  Mshaija vipi jambo radio bado mnayo?
  • Thanks
  Reactions: Maxence Melo
  Maxence Melo
  Maxence Melo
  Ebana, upo? Almost 10yrs hatujawasiliana. JR tulimwachia DJ Sure; domain ya jamboradio.com ninayo lakini
  M
  Mbase1970
  Nipo mambo yanaendeleaje nita kuinbox namba yangu ktk facebook. Filgga yupo?
  KoobFace
  New JF ipo vizuri, very responsive, Forums zote zipo vizuri isipokuwa Page ya "new posts" division ambayo ina highlight "Title, Views, Replies, Last Message". Views na Replies vimechanganywa inaleta mkanganyiko.
  Mulhat Mpunga
  MY LIKES PLEASE I CAN SEE URS 3000+
  • Thanks
  Reactions: Maxence Melo
  Maxence Melo
  Maxence Melo
  Siwezi kujipa LIKES hivyo. Those are the messages I wrote. I have 150 likes. Rating ya sasa inategemea LIKES na POSTS za mtu hivyo zile za awali ambazo hadi watu walikuwa wanaombana LIKES zimeachwa tukaanza upya. Whomever gets on top anakuwa kapata kwa haki kabisa
  bongompya
  Mkuu ,kuna jamaa yangu amefungiwa kwa mwaka mzima ,na sababu haijatolewa ni nini hasa tatizo,tunaomba msada wako.
  username ni frowin
  Maxence Melo
  Maxence Melo
  Anajua kosa lake. Anajua sana tu
  jay311
  kaka nisaidie nataka nibadilishe ID
  F
  Mim ni mgeni humu JF ila nimekuwa nukifuatilia kazi zenu tangia 2008. Mpo juu. Mungu awabarik kwa kazi yenu hii ya wito.
  F
  Hi Max!
  Nakumbushia ombi langu la kum track mtz aishie London aliye nitapeli kuniuzia Gari halafu akamuuzia mwingine. inakaribia mwaka sasa. Jina lake nime ku pm.Nipe maujuzi ya kuweza kum track had I anilipe . naming sitoacha kuchangia JF kama mnufaika. Nimeambiwa Jf imesaidia wengi kupata vitu vya thamani. Future bilionaire.
  M
  Hi Max, nikihitaji kupata SMS alert bado mnao huo utaratibu? my current mobile +254 722 777 131. Tafadhaii rekebisha nipate habari moto moto. Asanteni.
  Mpendatz
  dizzle kiraka
  Heko founder wa jf unatukomboa wengi toka Hulu shimoni ujingani no body can value mocha go wako katika ukombozi wa taiga hili ila bro umesaidia na unasaidia na unasaidia Milele kwa hii forum Mungu akuzidishie maisha marefu ushuudie mchango wako
  P
  Maxence Melo

  Kila nikitoa coments zangu zimekuwa hazionekani, je unaweza kunielimisha tatizo ni nini hasa maana naamini situkani mtu bali huandika iliyo kweli ili wahusika yakiijua kweli nayo kweli ipate kuwaweka huru.
  Ni mimi master wako wa Bwiru Boys Tech Sec School! Paul J is my id. Nitashukuru kunielimisha ili nibadili uandishi wangu
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top