Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,192
- 46,241
Hao jamaa wanashangilia nini wakati hamna kilichobadilika ni kama upo na browser?.Nlichogundua maoni yetu wameyakalia kimya
Ila wale wapenda browser wanakenua meno
Maana imewakuna kweli
Wanashangilia tu
Sisi tukae kimya tu
Wakiamua sawa wasipoamua sawa
Hii app waiache hata kama hawataki kuifanyia marekebisho poa tu hamna noma.