Hakuna cha app mpya hapo ni kwamba ,kama mlikuwa hamjui chrome, firefox na browsers jamii hizo zina option ya ku add page kuwa shortcut so walichokifanya hapo ni kuongeza option ya ku add shortcut simple no additional options bali ni shortcuts .
Hapana, ingawa nadhani unaamini wewe ni Guru ila kwenye hili naomba nikurekebishe. Hii sio Browser shortcut, hii ni Progressive Web App. Asante
 
Utakuwa ni uamuzi wa "hovyo" sana kama mtaachana na app iliyopo google store..hii shortcut sio app na tuliozoea app hii sio user friend kwetu..
Maxence Melo
Nlichogundua maoni yetu wameyakalia kimya

Ila wale wapenda browser wanakenua meno
Maana imewakuna kweli

Wanashangilia tu

Sisi tukae kimya tu
Wakiamua sawa wasipoamua sawa
 
Nimeshasoma kuhusu swala la kuondolewa App huko Appstore au Playstore bado wakitaka kuondoa watatujuza ila kwa sasa Bado inapatikana kwa uzuri.
Itaendelea kupatikana kwenye stores zote. Itaendelea kufanyiwa updates kadhaa ila errors kadhaa hatutaweza kuziondoa haraka, hii ni option ya kurahisisha kupata huduma bila kuchelewa na kwa gharama nafuu zaidi
 
Nlichogundua maoni yetu wameyakalia kimya

Ila wale wapenda browser wanakenua meno
Maana imewakuna kweli

Wanashangilia tu

Sisi tukae kimya tu
Wakiamua sawa wasipoamua sawa
Kwa experience yangu 99% member wanapenda APP sio Browser...Wengi wanatumia Browser kwasababu ya tatizo la NOTIFICATION kwenye APP...ila naona kama sasahivi lipo vizuri.
 
Hilo kasema sasahivi...Consider timeline unapokuwa kwenye mdahalo. Sawa na uwende leo kwenye Uzi wa 'Ummy Mwalimu asema Corona yaingia nchini' ucomment Hongera waziri wa Afya.
Nimekuelewa mkuu, sema niliongeza hicho kipengele baada ya yeye kuongeza hayo.
 
Je kwene hii App kuna option yaku back bila kutumia botton yasimu kama ilivyokuawa kwene App ya awali..?
simu yangu imekufa back button ko kwene ile App ya awali nilikua natililila tu mana kulikua na hivyo vimshale
<--- na ----> lkn kwene hii App mpya siion hii mishale Msaada tafadhali
Hivyo vibutton vya kubaki na home vipo Google play store, download
 
Back
Top Bottom