Malezi ni jukumu letu wote, potty training si jukumu la mama peke yake

Very nice my dada,wengi wanadhania jukumu la kulea ni la mama peke yake...mtoto anatakiwa alelewe na baba na mama...ajifunze vitu vya upande wa baba na mama,survival skills zitakazomsaidia ku survive pale wazazi wakiondoka abaki peke yake duniani...sasa kama amezoea kulelewa na mama..ikifika mahali akakumbana na scenario yuko mwanamke peke yake...ndani ya kundi la wanaume...kama hajui jinsi ya ku interact na wanaume..hii itakua ngumu sana...LOL
 
Kitu kingine muhimu, hakikisha watoto wako wanawachukulia kwa hadhi sawa Baba au Mama! Epuka malezi ya upande mmoja, kwa mfano, watoto kufikiri kuwa Baba ndio kila kitu au Mama ndio kila kitu!
 
Write your reply...malezi ni ya mama Hata ndege na wanyama wanaonyesha tu we toka lini jogoo akazunguka na vifaranga yaani tuache kutafuta tukae na mtoto mda wote maybe mda ukipatikana sawa ila 80%mlezi ni mama na watoto wanakuwa vizuri tuu toka enzi za mababu tuache uzungu
 
Uzuri wake toto likiwa na tabia mbaya jumuia inayokuzunguka itasema toto la gh hussa hilo
 
Wanawake katika kutafuta kukwepa majukumu.
Hakuna mnyama duniani ambaye watoto wanalelewa na baba!!
Fanyeni kazi yenu.
Baba Ni supportive tu.!!
50 50 inawapa shida sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom