Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

Super Villain

JF-Expert Member
Jan 2, 2019
9,390
21,041
Hii ni kwa wale wapenda movie huwa tumezoe kuona wengi huwapenda sana mahero/starring kwenye movie kushinda maadui mm ni mmoja kati ya watu ambao wanaopenda sana maadui kushinda mahero/starring katika movie huwa nafurahi sana kuwaona hawa mastarring/mahero wakiteseka.Yupi kwako ni adui au maadui wako bora uliwafurahia katika movie ulizoziona.
 
Attachments

  • _joaquin.phoenix-20191118-0001.jpg
    _joaquin.phoenix-20191118-0001.jpg
    31 KB · Views: 2
  • images.jpeg
    images.jpeg
    14 KB · Views: 2
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    29.1 KB · Views: 3
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    28.6 KB · Views: 2
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    16.6 KB · Views: 2
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    20.3 KB · Views: 2
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    16.8 KB · Views: 2
uliwahi icheki SHAMBA LA BIBI au ulikuwa yai bado?:D

'SIMBA/LION' ndio greatest villain of all kwangu!. yule mshenzi anafanya mpaka leo nisipende kwenda mbugani (lions of Tsavo, pride, prey etc). Na ndio ananishtua toka usingizini siku zote!.
Shamba la bibi sijaliona asee.. labda unihadithie..
Unazungumzia ile muvi inayoitwa Prey??
 
Shamba la bibi sijaliona asee.. labda unihadithie..
Unazungumzia ile muvi inayoitwa Prey??

Hii ni movie pekee bora ya kininja iliyotengenezwa vizuri Tz (i say i) ilikuwa wayback!.
Yule jamaa wa misukosuko ndio aliyeigiza mule. Kisa kikihusu Jamaa alikuwa ni inspekta wa polisi akapewa kazi afuatirie genge la wauza madawa, kumbe hili genge lina maninja bana. Walimfata bar wakampa kipigo takatifu, na ile style yao ya kupotea!. ikabidi jeshi limpeleke akafundishwe uninja na yeye, baada ya hapo akaanza watafuta!.

Prey ni kisa cha kweli kilichoitokea familia fulani huko mbugani South Afrika, simba walipofanya yao!. Lions of Tsavo ni historia ya ujenzi wa reli ya waingereza huko mbuga za Tsavo-kenya, wazungu walipokutana na simba wajanja!.
Kuna movie nyingi sana za SIMBA sema nimesahau majina yake ila kile kiumbe ni 'killing machine' asikuambie mtu!.
 
Hii mada ya LION OF TSAVO ilishawahi kuwekwa humu
 
Back
Top Bottom