Michael Bloomberg anadai katika wagombea wote wa Democrats hakuna wa kumuangusha Trump, hivyo anajitosa kupambana na Trump

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,402
17,460
Mfanyabiashara mkubwa na mmiliki wa vyombo vya habari wa Marekani, Michael Bloomberg anasema ana nia ya kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea wa Urais wa Marekani wa mwaka 2020 baada ya kuona wagombea wa Democrats akiwemo Joe Biden, Makamu wa Rais wa zamani hawana uwezo wa kupambana na Tariff Man Trump na kumuangusha, hivyo bora zaidi yeye.
 
Kwa hiyo wanaamini huu mpango wa impeachment ni nothing but a fool's errand. Wenzetu wanaangalia sana uchumi kuelekea kwenye kisanduku cha kura na hadi sasa wako poa hivyo Democrats wana kibarua.
 
Overestimation,Russia hana uwezo,paper tiger tuu ndo maana uchumi wako Mdogo kuliko wa California ila mbwembwe nyingi
Russia inatanguliwa California, Texas, na New York Chief! Kelele na propaganda nyiiingi za kisoshalisti zisizo na mashiko; uzuri namba haijawahi kudanganya.

#​
Country​
GDP​
World[1]
84,835,462​
1 China
13,457,267​
2 Japan
5,070,626​
3 Germany
4,029,140​
4 California
3,018,337​
5 United Kingdom
2,808,899​
6 France
2,794,696​
7 India
2,689,992​
8 Italy
2,086,911​
9 Brazil
1,909,386​
10 Texas
1,818,585​
11 Canada
1,733,706​
12 New York
1,701,399​
13 Russia
1,657,600​
14 South Korea
1,655,608​
 
Back
Top Bottom