Tundu A. Lissu, Nakushauri hama chama; una akili kuliko wao wote pamoja na chama chote ukijumlisha

Throne Heir

Member
May 17, 2018
60
101
Swali la kwanza kujiuliza hivi huyu wanae Muita mwenyekiti wa Kudumu (Nkulunzinza) uwa ana muda wa kukaa Kutafakari/Kufikiria hata kidogo au anawaza Kupiga deal tu?

Mwanafalsafa Marchiaveli anasema Prince lazima azungukwe na watu ambao hata mtu mwenye hekima akiwangalia tu kwa Haraka anasema naam Prince yupo mikono salama na anapata mawazo ya GREAT DESIGN.

Eeh sasa Nkurunzinza amezungukwa masaa 24 na Sugu, Lema and the Like unajiuliza hihihihii hawa wanamshauri nini huyu eeh? any way wao ndio wanajua matango wanayomlisha huko, ukitaka kujua ngoma hiyo ni ya watoto subiri Move ya Prince, kila move anayopiga Prince ni Blanda/boko tupu maskini weee wanatia huruma.

Ebu muangalie huyu muuza Vitabu wa Mbutu yeyee ni pumba 24/7 na kuwaaminishaa watu ya uongo wa Kitoto ili auze vitabu vyakeee mkono uende Kinywani lakini nae anasikilizwa huko.Sasa hawa kwa uwezo wao mdogo unajiuliza hiyo 2020 wanataka kuchukua dola ya nani au wao Kichama chao ni burea de change hivyo watapata Dola nyingi ifikapo 2020 kuna mtu wanamtegemea awape ili wapite Kumsafisha kipindi cha Kampeni? (Kumbuka EL).

Nilishasema na naamini hivyo iki Kikoba Cha Mwenyekiti wa Kudumu Kipo kwa maslahi yao tu, hakipo na Hakiwezi kumsaidia Mtanzania
Jaribu Kupima uwezo wao wote hawa wanaogawana madaraka hapo Ufipa kwa sasa + Uwezo wa NG'O (akili na Mali) Hawawezi wote kwa Pamoja Kulingana ama kushindana Na TL.

Enyi Mjidanganyao Nawambieni mipango ya kuchukua dola kama msemavyo HAKIKA nawambia si rahisi kama kula RUZUKU. Hewe TL Hawa watu usiwaamini kabisa yaaani akitokea mtu siku akifika Bei UTAUZWA wewe mchana kweupe kama Nyumba za Dr. shika.
Muda wa kukimbia genge hili ni sasa ili mawazo yako yaende kuishi huko waachie Kikoba chao.
 
Umeanza sentensi yako ya kwanza vibaya: kishari, kichochezi, kishamba! Huwezi kuonekana una hoja ya msingi zaidi vijembe kwa kuanza na such un substantiated personal attacks!

Pili, juzi tu mlikuwa mnamshambulia Lissu na kumwita enemy of the state. Leo kwa Mbowe kufungua moyo ili kuionyesha Dunia kwamba hana kinyongo wa nia ovu ya kuendelea siasa za chuki nchini mwetu, tayari mmeanza kutafuta pa kupitia ili muendeleze kazi yenu ya uipandikiza chuki na kulitakia laana Taifa letu Bila sababu: Na mlaaniwe ninyi nyoye mnaokesha mkitamani wapinzani na serikali wasipatane ili mbaki kwenye ulaji wenu wa kitapali - MLAANIWE na watoto wenu wawe na akili butu kama yenu.

The FACT is TL na Mbowe ni political genius ambao nchi nzima, na hasa Chama tawala na vyombo vya dola wanakesha wakiwaza namna ya kuwa tame. The two are too smart to be caught in a stupid move such as you are suggesting. Na kwa kukusaidia zaidi ili uropoke hasira zako vizuri, TL is the next leader of the second largest political party in Tanzania, and that is a painful FACT!
 
Other facts notwithstanding. Sijaelewa akili za Lissu Ni zipi na huwa mna maana gani mnapotumia akili na jina la Lissu.
 
Swali la kwanza kujiuliza hivi huyu wanae Muita mwenyekiti wa Kudumu (Nkulunzinza) uwa ana muda wa kukaa Kutafakari/Kufikiria hata kidogo au anawaza Kupiga deal tu?

Mwanafalsafa Marchiaveli anasema Prince lazima azungukwe na watu ambao hata mtu mwenye hekima akiwangalia tu kwa Haraka anasema naam Prince yupo mikono salama na anapata mawazo ya GREAT DESIGN.

Eeh sasa Nkurunzinza amezungukwa masaa 24 na Sugu, Lema and the Like unajiuliza hihihihii hawa wanamshauri nini huyu eeh? any way wao ndio wanajua matango wanayomlisha huko, ukitaka kujua ngoma hiyo ni ya watoto subiri Move ya Prince, kila move anayopiga Prince ni Blanda/boko tupu maskini weee wanatia huruma.

Ebu muangalie huyu muuza Vitabu wa Mbutu yeyee ni pumba 24/7 na kuwaaminishaa watu ya uongo wa Kitoto ili auze vitabu vyakeee mkono uende Kinywani lakini nae anasikilizwa huko.Sasa hawa kwa uwezo wao mdogo unajiuliza hiyo 2020 wanataka kuchukua dola ya nani au wao Kichama chao ni burea de change hivyo watapata Dola nyingi ifikapo 2020 kuna mtu wanamtegemea awape ili wapite Kumsafisha kipindi cha Kampeni? (Kumbuka EL).

Nilishasema na naamini hivyo iki Kikoba Cha Mwenyekiti wa Kudumu Kipo kwa maslahi yao tu, hakipo na Hakiwezi kumsaidia Mtanzania
Jaribu Kupima uwezo wao wote hawa wanaogawana madaraka hapo Ufipa kwa sasa + Uwezo wa NG'O (akili na Mali) Hawawezi wote kwa Pamoja Kulingana ama kushindana Na TL.

Enyi Mjidanganyao Nawambieni mipango ya kuchukua dola kama msemavyo HAKIKA nawambia si rahisi kama kula RUZUKU. Hewe TL Hawa watu usiwaamini kabisa yaaani akitokea mtu siku akifika Bei UTAUZWA wewe mchana kweupe kama Nyumba za Dr. shika.
Muda wa kukimbia genge hili ni sasa ili mawazo yako yaende kuishi huko waachie Kikoba chao.

Katafute wanaume wa mombasa huku tanzania hupati ng'o
 
Ulivyotaka kumtoa uhai hukujua kama ana akili sana?

Mods mna double standard mnaruhusu threads ambazo zinakaribisha mijadala ya kuvunjiana heshima. Mbowe ni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na ana wafuasi mamilioni hivyo anapotukanwa na kudhalilishwa ni wengi tunaumia. Hatukatai ukosoaji lakini lugha ya ukosoaji ikiwa chafu maana ya ukosoaji hupotea. Hapa jamvini watu wa CCM wanatuita Sisi Chadema nyumbu na Kwa mods inaonekana halali Mimi Kwa kukerwa na jina hilo nikawa nawaita maccm nguruwe mkanipiga ban. Kuna mjinga aliweka picha ya kuidhalilisha Chadema nikaijibu kwa kuiedit ionekane ni CCM nayo mkanipiga ban. Wacheni huu ujinga mnalikosea sana hili jamvi litakuwa sehemu ya kutukanana badala ya kuelemishana. Mimi siogopi tena ban zenu na sitaacha kuwapaka hawa wajinga mnaowalinda.
 
Back
Top Bottom