Sasa ni rasmi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda ana Akili, Elimu na Ufahamu mkubwa kuliko Watanzania wote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,470
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,470 2,000
Kama kuna Mtu ambaye nilikuwa nabisha na nakataa kabisa kuhusu ‘ Dhihaka ‘ za Watanzania wenye Akili nyingi dhidi ya Uelewa na Uwezo wa Maarifa aliyonayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda basi nilikuwa ni Mimi GENTAMYCINE ila kwa nilichokisikia leo na Mimi sasa rasmi nakubaliana na Watanzania wote hao.

Katika moja ya ‘ Promo ‘ ya Clouds fm hasa kuelekea katika Tamasha zima la leo la FIESTA Jijini Dar es Salaam Uwanja wa Uhuru ambayo aliifanya Mkuu wa Mkoa Paul C. Makonda amesikika ndani humo akisema kuwa Kesho tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara.

Yawezekana labda Watanzania wengi ( Mimi na Wewe ukimuondoa tu Mwerevu Paul Makonda ) tulisoma na Kufundishwa Somo la Historia na Walimu ‘ Wabovu ‘ kiasi kwamba muda wote tulipokuwa Darasani walikuwa wakituambia na kutufundisha kwamba tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanzania ( ambao unazihusisha Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ) wakati kumbe kwa Walimu ‘ Werevu ‘ na waliomfundisha ‘ Mwerevu ‘ Paul C. Makonda ( Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ) walimwambia kuwa kila tarehe 9 Disemba huwa ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara.

Najua kuna Wale Watetezi wake hapa wenye ‘ Visokolokwinyo ‘ vingi watakuja na Kubisha na hata kusema kuwa ‘ naongopa ‘ au ‘ namsingizia ‘ na kwamba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda hajatoa hilo ‘ Boko ‘ la Kufungia mwaka huu wa 2019 hivyo kwakuwa mara kwa mara Clouds fm wanarudia hiyo ‘ Promo ‘ yao ya FIESTA ambayo wamemrekodi Mkuu huyo wa Mkoa nawaomba muisikilize ili mjue ya kwamba huwa ‘ Sikurupuki ‘ pale nikileta ‘ Hoja ‘ hapa Jamvini.

Eti Kesho tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara. Hovyo kabisa pamoja na Cheo chako hicho!
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,470
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,470 2,000
DAB katika ubora wake!
Eti Kesho tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara. Huyu Mtu ' nimemdharau ' hadi nawaonea Huruma Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wake waliomfundisha achilia mbali tu Wazazi wake bila kusahau Ndugu, Jamaa na Marafiki zake.
 

Sandiego

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Messages
549
Points
500

Sandiego

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2018
549 500
Eti Kesho tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara. Huyu Mtu ' nimemdharau ' hadi nawaonea Huruma Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wake waliomfundisha achilia mbali tu Wazazi wake bila kusahau Ndugu, Jamaa na Marafiki zake.
Sasa hapo amekosea nini!!?
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
36,470
Points
2,000

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
36,470 2,000
Mkuu Share audio Clip kabla Mawingu hawajalazimishwa kui edit
Kama ulikuwepo vile Mkuu kuna Mtu yupo huko CMG ameonyesha huu Uzi wangu na huu ' Upuuzi ' wa RC Makonda kuwa tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara na sasa ' wanahaha ' kuifanyia ' editing ' ambapo kwa sasa neno Tanganyika silisikii wakati mwanzo nililisikia. Yawezekana sasa ' wanahaha ' kufanya ' editing ' hilo neno Tanzania Bara kwani Mkuu wa Mkoa Makonda ' amejiabisha ' mno kwa hilo ' Boko ' lake la Kufungia mwaka huu wa 2019.
 

Forum statistics

Threads 1,378,926
Members 525,244
Posts 33,728,436
Top