wote

  1. G

    JamiiForums Tanzania Haki sawa kwa wote

    Wana jamvi ili limekaaje mimi ni kondakta wa daladala hapa town nimekaa na kutafakari ivi kwanini watumishi wa jeshi wanapanda daladala bila kulipa nauli mini natumai kila mtumishi wa umma ni muhimu serikali ifike maala wanunue magari ya taasisi zao.. ndani ya gari hapa nina wanajeshi sita...
  2. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Paka mkubwa kuliko wote duniani

    Paka aliyevunja rekodi ya ukubwa anaitwa Hercules, ambaye ni chotara wa mchanganyiko wa simba na chui milia, ambaye sasa anaishi Myrtle Beach Safari, hifadhi ya wanyama pori South Carolina, USA. Ana urefu wa mita 3.33, kimo chake ni mita 1.25 na ana uzito wa 418.2 kg (922 lb). Hercules anakula...
  5. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Hongereni wakina Mbowe. Nakaribisha maoni/ ushauri na maswali

    Hello JF! Leo nimeona tukutane kwenye huu ‘mkutano’ tujadili upinzani, nafasi yake kwa sasa na muelekeo ama future direction iweje. Nawasihi tuifanye hii topic kimaswali na majibu ili kustimulate minds zenu. Kwanza, tumpongeze number moja upinzani Mbowe, amepitia mengi kama yeye na kwenye...
  6. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi: Tafadhali wale wanasiasa wote ambao hampendi, mnateseka sana mkikosolewa au mnahisi kuvunjiwa heshima mnapokosolewa, Msigombee!

    Hello Wana JF, Tanzania ni nchi ya vyama vingi tangu 1992! Tulikubaliana wenyewe kwamba tuendeshe nchi yetu kwa taratibu za kidemokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Na kwa mantiki hiyo, kila mtawala anaeapa kwa mujibu wa katiba tuliyonayo anapaswa kuheshimu taratibu tulizojiwelea...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike kuboresha mipango miji ya Manzese? Napendekeza walipwe fidia na watimuliwe wote

    Napendekeza nyumba zote za Manzese zifanyiwe tathmini na wamiliki wake walipwe fidia ili kupisha uboreshaji wa mandhari ya jiji, ile takataka inayoitwa Manzese haivumiliki, no way!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mahakimu na kupata Ujaji (Baadhi, sio wote please)

    Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc! Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
  9. NGUVU NDOGO NI IPI

    JamiiForums Tanzania Matokeo yule binti aliefiwa na wazazi wote(Anna Zambi)

    Salam wakuu, hivi yule binti aliepoteza wazazi na wadogo zake kwa ajali alipokua akijiandaa na mitihani ya kidato cha nne, nani anajua matokeo yake alifaulu? ==== Sent using Jamii Forums mobile app
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Joe Kangaroo aliokolewa katika moto huko Australia

    Joe ana majeraha machache lakini amepoteza wazazi wote wawili. Sasa hivi amelazwa kwa ni mgonjwa wa kulazwa kwa daktari wa wanyama.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya wanawake hamtakiani mema?

    Kwanini wanawake anapokuja mwanamke mwezako anataka ushauri unamuangamiza kwa chuki ambazo labda wewe umepitia badala ya kumtakia heri na mawazo mazuri!
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tabora: Polisi kuanzisha msako wa wanaotaka kujinyonga na kisha kuwapeleka Mahakamani

    Kamanda wa Polisi mkoani humo, Barnabas Mwakalukwa amesema kufuatia kupokea taarifa ya watu wawili kujinyonga, mwaka huu wataanza msako kuwabaini wanaotaka kujinyonga Amewakanya wanaotegemea kujinyonga kuwa tabia hizo zikome kwani wao wataanza kufanya doria na kuwakamata kabla hawajajinyonga na...
  14. Kendrick Rama

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya wakali wa Hip Hop Tanzania kwa muda wote

    fid q joh makini pr. Jay j moe mansuli lord eyes nikki mbishi mwana fa sugu Nash mc chindo man
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

    Verdiana Mjwahuzi (81) ambaye ni mama wa mwandishi wa habari, Erick Kabendera amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kumsamehe mwanaye. Akizungumza kwa huzuni leo Ijumaa Desemba 13, 2019 katika mkutano na waandishi wa habari, Verdiana amesema Kabendera ni mwanaye pekee anayemsaidia katika...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

    Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya: Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
  17. blackstarline

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale wote waliowahi kutendewa mema na kurudisha fadhila

    Labda ilitokea umepigika vibaya akatokea mtu akakusaidia mwishowe maisha yaka kunyokea na ukarudi kwa yule aliye kusaidia na ukamrudishia fadhila, maisha ni kusaidiana haijalishi kwa yule unaemsaidia labda hatakulipa au laa! Naamini ukimsaidia mtu kwa moyo mkunjufu haki yako haita potea. Mimi...
  18. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Kina Kaka Kina Baba,ebu tuingie kwenye Maombi Tuwaombee wanawake wote Waliojaaliwa...

    Najua kuna wanawake humu wanakubaliana na mimi kuwa kuna wenzao wameumbwa wakaumbika,Yani engineera aliyewaumba wao hakuchakachua cement wala tofali wala nondo, Ratio na Cement na mchanga ilikua kwa kipimo sahihi. Hao wanawake wamejazana mitaani,akipita mbele yako hata kama unamuongoza mtu sala...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la utekaji: Zitto Kabwe na uelewa wako wote na wewe umeingia katika huu mtego?

    Binafsi naona yule Bwana anaedaiwa kutekwa huenda atakuwa amegusa wanasiasa na kilichomtokea huenda ni kutekeleza matakwa ya wanasiasa na ndio maana kinachoendelea katika hili sakata kwa sasa ni kama mchezo wa kuigiza kwani hata weledi wa wahusika kulishughulikia umekosokena na sasa ni full...
Back
Top Bottom