wote

  1. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ukimalizana na Mkonge Tanga, tugeukie Kahawa Moshi

    Kwako PM Majaliwa Awali ya YOTEE nikupongezee kwa zoezi linaloendelea Nichukue fursaa HIII kukuombaa BAADA yaaa kurejeshaa MALIZANA SERKL zilizomilikishwa kwa wahunii wasioitakiaa nchii hii memaaa upandee WA mkongee Tunaombaa MWELEKEZE paler kilimanjarooo kukaguaa malizote za bodi ya kahawaaa...
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hatimae Whatsapp wamezindua mfumo mwanga hafifu 'dark mode' wa watumiaji wote.

    Katika vitu nilikua natamani siku zote ni night/dark mode kwa whatsapp. Hatimae whatspp wamezindua huo mfumo kwa watumiaji wote wa whatsapp. Huu ni mfumo unaopunguza au kuondoa kabisa mwanga mweupe na kuweka mwanga mweusi kwenye ukurasa wa whatsapp ukiwa unaitumia ili kulinda macho. Sasa wale...
  3. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alshabaab waaamuru watu wote ambao si wazawa kuondoka katika eneo lote la Kaskazini mashariki mwa Kenya

    https://www.operanewsapp.com/tz/en/share/detail?news_id=70f928da842b6242fda46a9898eb65fd&news_entry_id=32bb7f30200227en_tz&open_type=transcoded&request_id=RELATED_NEWS_6702ca75-024e-495d-91ba-90db839a964e&from=news Hii amri inafuatia baada ya Wizara ya elimu ya Kenya kuwaondoa waalimu wote ambao...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Namhesabu anaepewa mtoto kuwa ni mwenye bahati kuliko wote duniani!

    1. watu wanahangaika kutafuta watoto kwa gharama kubwa mno.......... 2. watu wanafikia hatua ya kuiba watoto mahospitalini na mitaani na kukimbia nao ili wakawe na furaha.... 3. watu wanafikia hatua ya kuweka matambara ili waonekane wana mimba, ukifika muda anaibwa mtoto mahali na kuwa...
  5. malisoka

    JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea CCM kwa hila wakanunua wapinzani wote nini kitatokea?

    Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk. Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho. Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tunaofunga Kwaresma hii tukutane hapa

    Kwaresma ni kipindi kitakatifu cha kukumbuka mateso ya bwana Yesu, wakristo tunakumbushwa kumrudia Mungu huku tukitafakari kwa kina maisha yetu katika imani. Wenzetu wana mwezi wa Ramadhani sisi tuna Kwaresma. Tuliopanga kufunga tuwe tunapeana updates na kutiana moyo. Haijalishia utafanikiwa...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Nendeni CCM wote wasaliti wakubwa wa mabadiliko

    Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi. Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wote wanaokumbia shule za St Kayumba kwakua hawataki watoto wao wawe Waswahili, anagalieni hii picha.

  10. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanapaswa kuwa wavumilivu amani ikitoweka wote tutavurugikiwa

    Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye ameviasa vyama vya siasa na hasa vya upinzani kuwa na uvumilivu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ili kuilinda amani yetu. Sumaye amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kukumbuka kuwa nchi iliyovurugwa na amani kupotea huwa haitawaliki. Kwahiyo pasipo na amani sote...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serukamba: Serikali iige Rwanda ambako raia wote wana Bima ya afya na wale "wanyonge" wanakatiwa bima na Serikali

    Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Huduma za jamii ameitaka serikali kwenda kujifunza Rwanda ambako raia wote wa nchi hiyo wana Bima za afya. Serukamba amedai wananchi wanyonge wa Rwanda ambao ni kama 4% ya wananchi wote wanalipiwa bima zao na serikali. Serukamba amesema hayo wakati akifunga...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Wabunge wa CCM kumbukeni kuwa mambo yakiharibika tutazama wote bila kujali itikadi ya mtu

    Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi. Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kufikia tarehe 01/03/2020 wanafunzi wote wa sekondari watakaa madarasani kila mmoja na dawati lake, wazazi hawatachangishwa!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu. Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
  15. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

    (1) Ni muhimu kutambua kwamba kipindi tunachopitia hakijawahi kuwepo katika historia ya mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini na hata wakati wa chama kimoja. (2) Hatujawahi kuwa utawala wa kikatili wazi wazi kama huu. Hatujawahi kuwa na utawala usioheshimu Katiba na Sheria za nchi yetu wazi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

    Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM) Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
  17. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Makundi mbalimbali ya Watanzania wanaoichukia serikali ya Rais Magufuli na kwanini wanaichukia...

    Tumeshudia Rais Magufuli akitukanwa kwa sababu zisizo za msingi kabisa,tena wakati mwingine kwa kufanya mambo ya msingi ambayo kama nchi tunayahitaji.Tumeshuaudia pia akibezwa na kudharauliwa.Lakini ni akina nani hasa wanahusika na vitendo hivi ambavyo si vya kiungwana kabisa, vyenye nia ovu ya...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Haki sawa kwa wote

    Wana jamvi ili limekaaje mimi ni kondakta wa daladala hapa town nimekaa na kutafakari ivi kwanini watumishi wa jeshi wanapanda daladala bila kulipa nauli mini natumai kila mtumishi wa umma ni muhimu serikali ifike maala wanunue magari ya taasisi zao.. ndani ya gari hapa nina wanajeshi sita...
  19. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom