Lema: Wabunge wa CCM kumbukeni kuwa mambo yakiharibika tutazama wote bila kujali itikadi ya mtu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi.

Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi mwisho kama Daniel na wenzake.

Lema alikuwa akichangia ripoti ya kamati kuhusu Utawala bora.

My take; Ni mambo gani hayo yatakayovurugika?

Maendeleo hayana vyama!
 
Mambo ya matumbo yao huoni nao wanaogopa kuja uraiani? Mtu umezoea maburungutu ya hela za dezo hujasoma haufanyi biashara ghafla zinakata si ndo mambo kuharibika
 
Waswahili walisema, usipomfunza mwanao ,atafunzwa na dunia, wacha kina Pompeo,WB watupe somo.CCM wanamchekea nyani kwa hofu na madhaifu yao , tutavuna mabua pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, MwanaCCM anatishia maisha ya watu viongozi wanabadilisha maneno kwamba alimaanisha kitu kingine. Kina Mbowe wako mahakamani kwa kusema "Patachimbika". Sijui ni sehemu gani inaweza kuchimbwa isichimbike.? Kuna watu wamehamasisha vijana wa CCM kuwadhuru wanasiasa wa upinzani popote watakapowaona iwe Sokoni, hotelini au kwenye ndege. Lakini huyo aliyetamka hivyo hata kuhojiwa na Polisi hajahojiwa wala kuulizwa tu kwa nini amefikia kutishia watu maisha? Hii nchi mmiliki ni mwanaCCM, awe mkubwa awe mdogo, ndo maana MWENYENCHI mmoja anawaambia wenzake " wapinzani tunawadekeza sana, tungehakikisha kwanza hawaendi sokoni, hotelini wala kusafiri kwa ndege! Kwa ujumla amewafukuza nchini wapinzani kama wanataka kuishi, vinginevyo wakiendelea kukaa nchini wajiandae kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi.

Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi mwisho kama Daniel na wenzake.

Lema alikuwa akichangia ripoti ya kamati kuhusu Utawala bora.

My take; Ni mambo gani hayo yatakayovurugika?

Maendeleo hayana vyama!
yeye tu ndiyo anamawazo ya kuwa kunasiku mambo yatavurugika hakuna ila wakipewa nchi hawa wapuuzi ndiyo watatufikisha huko anakofikiria kila siku
 
Mambo ya matumbo yao huoni nao wanaogopa kuja uraiani? Mtu umezoea maburungutu ya hela za dezo hujasoma haufanyi biashara ghafla zinakata si ndo mambo kuharibika
Uwezo wetu watanzania kwenye kufikiri ni mdogo sana. Hela za Bure wakati kazi yao ni kusema bungeni? Ulitaka pale bungeni wawe wanabeba zege ama walime matuta ya viazi vitamu wauze ndiyo uone hela wanazolipwa wanazitolea jasho?
 
Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi.

Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi mwisho kama Daniel na wenzake.

Lema alikuwa akichangia ripoti ya kamati kuhusu Utawala bora.

My take; Ni mambo gani hayo yatakayovurugika?

Maendeleo hayana vyama!
Kwa kauli kama hizi unafikiri hawa vitoto wa Lumumba wakijaribu upuuzi wao wanaohubiri wanaume watawachekea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo bwana Lema, ukishinda democrasia ipo ,ila ukishindwa hakuna democrasia?
.nakusihi tu uachane na huo unyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliza mshono bado hujapona vizuri
FB_IMG_1578313238547.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo bwana Lema, ukishinda democrasia ipo ,ila ukishindwa hakuna democrasia?
.nakusihi tu uachane na huo unyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app

Achana na kuita bwana Lema wewe elewa kwanza hayo ya kuitana bwana yatakuja baada ya wewe kuelewa na nadhani ukishaelewa hiyo kuita bwana Lema hutaita..

By the way unakumbuka Gwajima aliwahi kusema kwamba Makonda atachafua nchi?
 
Back
Top Bottom