johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,870
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu.
Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza yake.
Makonda amesema kila kitu kitagharamiwa na serikali ya mkoa na hakuna mzazi atakayechangishwa hata shilingi moja.
Makonda alikuwa akikagua ujenzi wa madarasa wilayani Temeke.
Source: Star Tv
Maendeleo hayana vyama!