Nendeni CCM wote wasaliti wakubwa wa mabadiliko

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi.

Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao baki.

Unasaliti mabadiliko unaenda kuunga mkono mauaji, utekaji uhujumu uchumi na siasa chafu za kubambikiana kesi?

Hakika hukumu yenu yaja wasaka tonge wote wasaliti wa sauti ya wengi

Bora kustaafu siasa kikaeleweka lakini sio kuwasaliti wananchi walio wengi mtalaaniwa na vizazi vyenu vyote kwa kusaliti mabadiliko.

Watu wameuwawa bila hatia sababu ya Ccm Akwilina yuko wapi? Alphonce mawazo je? wakina Ben Saanane walikuwa na hatia gani leo nikaunge juhudi za mauaji na vitisho?

Hakika sauti ya Mungu ambayo ni sauti ya wengi itawapa hukumu mbaya sana nendeni nendeni ila ukweli utabaki palepale upinzani una nguvu zaidi kipindi kama iki dunia ikiona juhudi za kuumaliza.
 
Ccm inaelekea mwisho,imejiingizia "corona" iliyochanganyika na "ebola" huo mchanganyiko sijui mpasuko wake utakuwa na kishindo gani.
Kiujumla haina nia njema.
 
kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama anachokitaka, na usilazimishe kila mtu awe na mawazo kama yako kwamba lazima awe upinzani ndo aonekane mzalendo, duniani kila mtu ana upeo wake na kama ameona panapomfaa ni huko, huwezi pingana na mawazo yake, hiyo ndo demokrasia yake.
Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi.

Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao baki.

Unasaliti mabadiliko unaenda kuunga mkono mauaji, utekaji uhujumu uchumi na siasa chafu za kubambikiana kesi?

Hakika hukumu yenu yaja wasaka tonge wote wasaliti wa sauti ya wengi

Bora kustaafu siasa kikaeleweka lakini sio kuwasaliti wananchi walio wengi mtalaaniwa na vizazi vyenu vyote kwa kusaliti mabadiliko.

Watu wameuwawa bila hatia sababu ya Ccm Akwilina yuko wapi? Alphonce mawazo je? wakina Ben Saanane walikuwa na hatia gani leo nikaunge juhudi za mauaji na vitisho?

Hakika sauti ya Mungu ambayo ni sauti ya wengi itawapa hukumu mbaya sana nendeni nendeni ila ukweli utabaki palepale upinzani una nguvu zaidi kipindi kama iki dunia ikiona juhudi za kuumaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muuombee adui njaa hali mbaya ya uchumi ambayo watawala wana macho kengeza nyuma ya mikamera uchumi unakua kwa kasi duu! nawapenda wanao sema kesho huwa haiji 'tomorrow never comes'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa uchungu uzi huu....lkn haya tunayoyaona ni madhara ya kubadili 'GEA' angani wacha yatutafune kama 'wapinzani' ...next time hatutadhubutu kurudia ule upuuzi wa kina mbowe
 
Hakika sauti ya Mungu ambayo ni sauti ya wengi itawapa hukumu mbaya sana nendeni nendeni ila ukweli utabaki palepale upinzani una nguvu zaidi kipindi kama iki dunia ikiona juhudi za kuumaliza.
Wapiga kura wa 2020 wako milioni 30,
Wahamasisheni wote wajiandikishe na siku ya kupiga kura wote wajitokeze wapige kura, CCM wataendelea kupata ushindi wa kura milioni 10, halafu kura milioni 20 ni za wapinzani.

Sii wengi wanafahamu kuwa CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya kuitawala Tanzania milele, na hata Baba wa Taifa letu Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alisema rais bora atatoka CCM.

P
 
Mkuu kiukweli ccm ilishakufaga kitambo, wapinzani wanapambana na dola, ccm haina ubavu hata chembe wakushinda uchaguz dhidi ya wapinzani, huwo ndo ukweli na kweli ndiyo Mungu
 
Hii inayofanyika sasa hivi kama unaita demokrasia basi utakuwa una tatizo mahali.
Yanayoendelea sasa hivi kwa wanasiasa kuelekea ccm sio aina ya siasa safi bali uharamia na blackmailed tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia ni pamoja na kukubali maamuzi ya mwenzako. Hakuna mkataba wowote au sheria yoyote inayomkataza mwanasiasa kubaki au kuhama chama.

Swali langu kwako je ikitokea wimbi kubwa la wana CCM wanahama na kukimbilia Upinzani, hiyo haitakuwa demokrasia?
 
Hii inayofanyika sasa hivi kama unaita demokrasia basi utakuwa una tatizo mahali.
Yanayoendelea sasa hivi kwa wanasiasa kuelekea ccm sio aina ya siasa safi bali uharamia na blackmailed tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
akina lowasa ,sumaye nk walipohamia kwenu chadema ilikuwa demokrasia au blavk mail? tundu lisu na godbles lema ni wahamiaji toka vyama vya NCCR na TLP vipi hiyo ni demokrasia au bkackmail?

chadema mumejaa utoto mwingi hamkomai kisiasa ndio maana watu makini wanaondoka.mna siasa za kitoto
 
Bakini huko matapeli wa kisiasa.
Li CCM lenu lilisha jifia kitambo. Li MAGUFURI lenu limebakia kununua watu na kugawa mabunda ya noti kama njugu. Ingekuwa takukuru sio tawi la ccm ingetakiwa achunguzwe. But takukuru imegeuka kuwa tawi la kuilinda ccm too bad!
 
Back
Top Bottom