Kwa wazazi wote wanaokumbia shule za St Kayumba kwakua hawataki watoto wao wawe Waswahili, anagalieni hii picha.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1581706902477.png
 
Wale toleo la tatu wamejitenga wenyewe tu..wanaogopa wazungu subiri wawazoee utawaona kwenye pcha za pamoja
 
Mzazi makini anafanya utafiti wa kutosha kuhusu shule anayotaka kuwapeleka watoto wake.

Unaweza ukampeleka shule za umma akapamvana na unyanyapaa uliokisiri, tena usiombe ufanyiwe jeuri za kiswahili.

Sipingi watoto kupelekwa shule za umma ila kutokuwapeleka kwa kisingizio kama cha hii picha sio sawa. Kasumba ya kujivunia unyonge au umasikini ni ya kupingwa kwa kila namna. Unajisikiaje fahari kuwa masikini au mnyonge?
 
Hii ni ya muda kidogo mwaka 2018 kama sio 2019, nchini South Africa. Ilienda viral mpaka ikabidi uongozi wa shule ujitetee.
 
Upnext, ''bora kutembea kwa miguu au kupanda dalala. Wenye magari wanapata ajali sana''. Brethren, there is no nobility in poverty!
 
Back
Top Bottom