• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mzee Sumaye: Kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanapaswa kuwa wavumilivu amani ikitoweka wote tutavurugikiwa

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
28,001
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
28,001 2,000
Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye ameviasa vyama vya siasa na hasa vya upinzani kuwa na uvumilivu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ili kuilinda amani yetu.

Sumaye amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kukumbuka kuwa nchi iliyovurugwa na amani kupotea huwa haitawaliki.
Kwahiyo pasipo na amani sote tutavurugikiwa pasipo kujali itikadi na hata hao wapinzani wakishinda wakati amani imetoweka watatawalaje?....ameuliza Sumaye

Mzee Sumaye alikuwa akihojiwa katika kipindi kilichorushwa na Star tv.

Source: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Messages
1,890
Points
2,000
Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2017
1,890 2,000
Kasem a kuna nafasi ya Mbowe, kwa hiyo nafasi ya mwenyekiti haipo?
 
samurai

samurai

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Messages
7,380
Points
2,000
samurai

samurai

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2010
7,380 2,000
hahahaha inafurahisha na kuchekesha sana.
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
18,090
Points
2,000
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
18,090 2,000
Hahaha, Yani wapinzani wao ni wa kuvumilia miaka na miaka, acha damu imwagike kwani hata damu ikimwagika haichagui huyu ni mpinzani hivyo hata ya CCM nayo itamwagika tena sana tu
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
28,001
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
28,001 2,000
Hahaha, Yani wapinzani wao ni wa kuvumilia miaka na miaka, acha damu imwagike kwani hata damu ikimwagika haichagui huyu ni mpinzani hivyo hata ya CCM nayo itamwagika tena sana tu

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Mkuu punguza uchawi!
 
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Messages
11,003
Points
2,000
Richard

Richard

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2006
11,003 2,000
Ni baada ya wale wazee wawili (Kinana na Makamba) kuambiwa kwamba kama wamejiweka pembeni na CCM basi wakae hivyohivyo bila kuvuka upande wa pili.

Ilitegemewa wale ndo pengine wangekuwa chachu ya upande wa upinzani.

Sumaye amesoma alama za nyakati.
 
SheriaE

SheriaE

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
289
Points
250
SheriaE

SheriaE

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
289 250
Hahaha, Yani wapinzani wao ni wa kuvumilia miaka na miaka, acha damu imwagike kwani hata damu ikimwagika haichagui huyu ni mpinzani hivyo hata ya CCM nayo itamwagika tena sana tu

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Ya wewe?
 
Tua Ngoma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Messages
2,382
Points
2,000
Tua Ngoma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2015
2,382 2,000
Mwambie miaka 25 tuliyovumiliaa inatosha,sasa ni zamu ya CCM kuvumilia.
Maana huku mtaani kuna viUVCCM vinaamini vurugu ikitokea haitawagusa watakuwa Rwanda na JoHN
 
Abdalla mpemba

Abdalla mpemba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2016
Messages
484
Points
1,000
Abdalla mpemba

Abdalla mpemba

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2016
484 1,000
UVUMILIVU SASA BASI TUMESHACHOKA KUPIGWA GOLI LA MKONO WANAVO TAKA MWAKA HUU TWATAKA
 

Forum statistics

Threads 1,405,595
Members 532,049
Posts 34,490,026
Top