Waziri Mkuu Majaliwa ukimalizana na Mkonge Tanga, tugeukie Kahawa Moshi

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Kwako PM Majaliwa
Awali ya YOTEE nikupongezee kwa zoezi linaloendelea

Nichukue fursaa HIII kukuombaa BAADA yaaa kurejeshaa MALIZANA SERKL zilizomilikishwa kwa wahunii wasioitakiaa nchii hii memaaa upandee WA mkongee

Tunaombaa MWELEKEZE paler kilimanjarooo kukaguaa malizote za bodi ya kahawaaa na wahusikaa WOTE walioshiriki kujimilikishaaa watangulie MBELE ya mahakamaa na Mali HUSIKA zirudi

Nakutakia maishaa marefuu mkuu najuaa unapambanaa na wenginee wanaoamini nguvuzagiza kuwalindaa walaa azitakugusaaa kamwew
 
Back
Top Bottom