Kwenu nyote mliohama vyama vyenu (haijalishi ni chama gani ulikotoka na chama gani ulihamia) naomba jibu swali hili (ukipenda);
1. Kitu kipi kilikufanya uwe kwenye chama ulichokuwa nacho kabla hujajiunga kwingine?
2. Na ulipoamua kuunga mkono juhudi; kipi kilichobadilika ulipotoka na kule...
Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar.
Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
Imagine dunia nzima wanawake wagome kufanya mapenzi itakuwaje?
Kuanzia walio ndoani mpaka makahaba.
Hakutakuwa na uzao Tena na ndio itakuwa mwisho wa dunia.
Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya.
Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua.
Mara zote unapofungua...
Kule Vatican katika makao makuu ya kanisa ambapo ni sehemu kuu ya kumwabudia Mungu ambako ilitarajiwa ibada ya maji matakatifu kwa waumini hasa kipindi hiki cha Kwaresma kama Mungu alivyowaagiza miaka yote kwa sasa kumefungwa. Na maelekezo ya aliyowapa Mungu kufanya ibada hizo yamesitishwa kwa...
Sophie Wessex alimuakilisha Malkia South Sudan mwezi huu. Maofisa wa afya walimpima afya mara tu aliposhuka kwenye ndege.
Sophie was in fact pictured being tested for the coronavirus on arrival, with the Queen's ambassador to South Sudan Chris Trott writing on Twitter: "Very pleased to...
WASIFU WA AKWILINA AKWILINI
Akwilina Akwilini alizaliwa tarehe 1 April, 1996 katika Kijiji cha Olele-Marangu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mtoto wa sita kati ya watoto nane wa familia ya mzee Akwilini Shirima.
Akwilina alipata sakramenti mbalimbali katika kanisa Katoliki la...
Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji.
Katika kesi hiyo...
Kwako PM Majaliwa
Awali ya YOTEE nikupongezee kwa zoezi linaloendelea
Nichukue fursaa HIII kukuombaa BAADA yaaa kurejeshaa MALIZANA SERKL zilizomilikishwa kwa wahunii wasioitakiaa nchii hii memaaa upandee WA mkongee
Tunaombaa MWELEKEZE paler kilimanjarooo kukaguaa malizote za bodi ya kahawaaa...
Katika vitu nilikua natamani siku zote ni night/dark mode kwa whatsapp.
Hatimae whatspp wamezindua huo mfumo kwa watumiaji wote wa whatsapp.
Huu ni mfumo unaopunguza au kuondoa kabisa mwanga mweupe na kuweka mwanga mweusi kwenye ukurasa wa whatsapp ukiwa unaitumia ili kulinda macho.
Sasa wale...
https://www.operanewsapp.com/tz/en/share/detail?news_id=70f928da842b6242fda46a9898eb65fd&news_entry_id=32bb7f30200227en_tz&open_type=transcoded&request_id=RELATED_NEWS_6702ca75-024e-495d-91ba-90db839a964e&from=news
Hii amri inafuatia baada ya Wizara ya elimu ya Kenya kuwaondoa waalimu wote ambao...
1. watu wanahangaika kutafuta watoto kwa gharama kubwa mno..........
2. watu wanafikia hatua ya kuiba watoto mahospitalini na mitaani na kukimbia nao ili wakawe na furaha....
3. watu wanafikia hatua ya kuweka matambara ili waonekane wana mimba, ukifika muda anaibwa mtoto mahali na kuwa...
Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au...
Kwaresma ni kipindi kitakatifu cha kukumbuka mateso ya bwana Yesu, wakristo tunakumbushwa kumrudia Mungu huku tukitafakari kwa kina maisha yetu katika imani. Wenzetu wana mwezi wa Ramadhani sisi tuna Kwaresma.
Tuliopanga kufunga tuwe tunapeana updates na kutiana moyo. Haijalishia utafanikiwa...
Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi.
Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao...
Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM.
Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.