Hatimae Whatsapp wamezindua mfumo mwanga hafifu 'dark mode' wa watumiaji wote.

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Katika vitu nilikua natamani siku zote ni night/dark mode kwa whatsapp.

Hatimae whatspp wamezindua huo mfumo kwa watumiaji wote wa whatsapp.

Huu ni mfumo unaopunguza au kuondoa kabisa mwanga mweupe na kuweka mwanga mweusi kwenye ukurasa wa whatsapp ukiwa unaitumia ili kulinda macho.

Sasa wale watumiaji wa android 9 na android 10 tunaanza kufurahia hiyo huduma na wale wa ios 13. Andoid 10 hii kitu iko automatic ukishaweka tu dark mode apps zote zenye dark mode hubadilika na kua dark au unaweza kuforce nyingine zote kwa kwenda kwenye developers mode kisha weka force dark mode.

Dark mode imezinduliwa leo, nenda whatsapp update kisha anza kufurahia huduma.

WhatsApp dark mode now available for iOS and Android
 
Kwani kwenye app ipo?
Hii hapa
Screenshot_20200305-062350.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom