malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,638
Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au Ikatokea wakawafunga hata kuwapoteza baadhi ya viongozi wapinzani nini kitatoakea.
Kwanza: watanunua lakini mioyo na dhamira ya watu itabaki Upinzani.
Pili: Nchi itakuwa ngumu sana kutawalika kwa amani.
Tatu: Uchumi wa nchi utaporomoka.
Nne: Kwa kuogopa vitisho, mateso . wengi watakimbilia nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa kama Tundu Lissu na Roma na hapo ndhipo usalama wa taifa utakuwa matatani zaidi.
Usalama wetu upo mikononi mwa CCM. wakipenda nchi hiii itakuwa salama.
Uhuru wa mtu haununuliwe.