wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Unajua neno "baba" ni zaidi ya watu wengi wanavyofahamu?

    Kikwetu, inapotokea mtu ana ugomvi na mwenzake, na wameamua watafute Suluhu nje ya mahakama, sharti mojawapo la kikao kukaa ni kila mmoja kuwa na "baba" kwenye hicho kikao. Ajabu ni kwamba, wakati mwingine "baba" anaweza akawa na umri mdogo kuzidi mwenye kesi. Lakini kwa sababu amekwenda kwa...
  2. Wayahudi wengi waanza kumrudia Mungu, amewanusuru kwa maafa kama alivyokua anafanya enzi zile

    Hapa sasa ni mpambano kati ya Mungu wa Wayahudi na yule wa waislamu, kila muislamu leo hii anapiga magoti kwa bidii na kuiombea Israel ife, ifutike, nao Wayahudi wamemrudia Mungu wao wakiomba awanusuru kwa hili kama alivyowanusuru tangu enzi za mababu zao akina Musa, Daudi na wengine. Sasa...
  3. G

    Akili za wanachuo wengi zimekaa kipigaji na kutaka zaidi ya mlichokubaliana ukiwaweka madukani, kwanini?

    Japo inategemeana mtu na mtu, kwa wastani Darasa la saba na form 4 wengi wala hawana shida ukiwaweka dukani, Shida inakuja uwaweke waliosoma vyuoni, yani hata awe kasomea kozi ya secretary ni shida sana, mwanzoni mnakubaliana vizuri kabisa mshahara, day allowance, muda wa kufika, n.k. lakini...
  4. Acha kuishi kwa hofu na wenge, kapime ujue afya yako

    Acha Hofu na Wenge kapime ujue afya yako... Kwa kipindi Cha miaka miwili nimekuwa nikiishi kwa Hofu na kujichukulia kama mwathirika HIV aka ukimwi aka Ngoma aka umeme utaongeza aka nyingine Basi bhana kutokana na iyo Hofu nilikuwa najikuta nakonda kweli na kuumwa hakuishi yaani nikiumwa tu...
  5. Haya ni makosa makubwa mawili yanayofanywa na wajasiriamali wengi na kuishia kujuta.

    Kuna wajasiriamali wengi huishia kujuta kwa kupoteza mitaji yao bila hata kufanya starehe yoyote wala matumizi mengine mabaya. Leo tutaangazia sababu mbili ambazo zinachangiwa sana na hawa wanaojiita Motivational speakers na life coaches. 1. Kudhani wanaijua biashara na kutojifunza zaidi Huu...
  6. Unajua ni kwanini zamani inasemekana kulikuwa na watu wengi wenye akili?unajua kwanini vijana maisha ni magumu?

    Kila zama na nabii wake,walikuwepo wakina adamu,nuh na akina ibrahimu wote walikuja wakati ambao dunia haimtambui mungu na ujio wao ulikuwa ni wenye lengo la kutambulika kwa nguvu kuu yenye mamlaka dhidi ya nguvu zote,katika zama hizi habari zilikuwa hazina ukubwa kiasi cha kusambaa kila eneo...
  7. R

    Kila mwanamke ninayetembea naye uolewa; nina nyota ya ndoa nimesaidia wengi waliokata tamaa

    Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu. Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao...
  8. Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

    WENGI WANAOTAKA WAKE ZAO WASIFANYE KAZI WANAUPEO MDOGO WA KUFIKIRI ALAFU NI WABINAFSI Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Chizi sio lazima uokote Makopo, kuna Chizi Fresh ambao ndio wengi wapo kundi hili tena wengine wasomi. Alafu kuna ambao ni Chizi Maarifa hawa wengi ukiwaona kwa mbali...
  9. Wachungaji wengi wa kileo wanapotosha masomo ya ndoa akiwemo pastor Tony

    Ndoa msingi wake ni upendo bila kujali nani ana ajira, ana biashara, ana cheo au hana kitu. Na jukumu kubwa la mwanaume ni kumpenda mke wake(upendo ndani yake kuna wajibu wa kucare umpendaye). Mwanaume ndiye anapaswa kuleta mahitaji yote muhimu kwenye familia yake kwa kadri ya nguvu na akili...
  10. Wanawake walio wengi waleo wanatumia dildo na kusagana ni ngumu sana kwa wanaume kuwaridhisha

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ni ngumu sana kuwaridhisha wanawake wa kileo kwa sababu huwezi shindana na dildo ambalo linatumia umeme Japokua kumekua na vilio vingi kwa upungufu wa nguvu za kiume ila ukweli ni kwamba mtindo wa maisha wa wanawake wengi ni ngumu sana kuwaridhisha Zaman ilikua...
  11. S

    Asilimia kubwa ya Watanzania wanajua usafi wa mwili na mazingira yao ila wengi ni wachafu na wasio na kinyaa kabisa!

    Haihitaji kufanya utafiti bali kutazama tu jinsi jamii inayokuzunguka inavyoishi katika suala zima la usafi hasa usafi wa kitu kinachoingia mdomoni mwako na jinsi jamii isivyojali kabisa. Watanzania wengi usafi wanaojua ni ule wa kuoga, kufua, kudeki na kufagia mazingira yanayozunguka nyumba...
  12. Kama hujui faida za raia wengi kuwa nchi za nje, angalia remittances EAC

    Kenya wanaonekana wapo vizuri sana upstairs! Wakati jirani zao wakibweteka kwa kuwa na ardhi kubwa na idadi kubwa ya watu, wao na viongozi wao wanachangamkia fursa zilizopo ng'ambo. Kwa jicho la haraka haraka, inaonekana Kenya, Rwanda na Uganda zimeipita mbali sana Tanzania kwa raia wake...
  13. Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza Mashabiki wengi kwenye Matamasha yao

    Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao. HII NDIO ORODHA YENYEWE! 1. Ferre Gola Aliingiza Watu 150,000 Show yake ilifanyika DRC Congo Mwaka 2023. 2...
  14. Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

    Namna ambavyo Atheism inasambaa ulimwenguni kwa sasa kadiri miaka inavyo songa katika njia ya amani inanipa faraja na kusema hii ndio njia ambayo dini ilipaswa kuitumia. Huwezi kuta Atheists wanatumia nguvu kubwa kama vita, kuchinja watu, kulipua watu ili wasiamini kuwa kuna Mungu lakini haya...
  15. Nasikitika sana wengi wenu hamjamuelewa Kiumakini Msemaji wa Simba SC juu ya Uwanja watakaoutumia

    "Kwa sasa Simba SC tutautumia Uwanja wa Azam Complex kwa Mchezo wetu dhidi ya Tembo katika Mechi ya ASFC Keshokutwa na Taarifa ya Simba SC itatumia Uwanja upi kwa Mechi zake za Ligi Kuu ya NBC na CAFCL itatolewa baadae" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa...
  16. Asilimia 80-90 Kuhusu Member wa JF

    1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja 2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga 3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na mahusiana na jukwaa la michezo 4. Member wengi wa JF hawapendi kujitangaza nje ya JF 5. Member wengi wa JF...
  17. Japo Wengi Wamepania Kumzawadia Mwezi October 2025, Mimi Zawadi Yangu Nimemuaa Kuitoa Mapema, Kusubiria 2025 Will Be Too Little Too Late!

    Wanabodi, Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025, Ili zawadi hii iwe na maana na manufaa kwake, imebidi itolewe mapema, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late!, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze...
  18. CHADEMA mna machaguo mawili tu, kuhakikisha Makonda hapati watu wengi kwenye ziara zake au mmshitaki, la sivyo mtapata tabu sana!

    Kuwa na mvuto wa watu, hahitaji kuwa na madigere na au PhD ili ukubalike na watu Ukiniuliza mimi, kwa yale tuliyoyasikia miaka hiyo ya utawala ya JPM hasa kumhusu Makonda, namna vyomba vya habari vilivyokuwa vikimwandama, kumchafua na kubezwa karibu na kila mtu, kwa akili yanfu naliamini kuwa...
  19. Watanzania wengi ni wanafiki sana

    Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima. Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa...
  20. Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

    Habari, Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje. Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma. Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…