Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza Mashabiki wengi kwenye Matamasha yao

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao.

HII NDIO ORODHA YENYEWE!
1. Ferre Gola Aliingiza Watu 150,000 Show yake ilifanyika DRC Congo Mwaka 2023.

2. Fally Ipupa Aliingiza Watu 120,000 Show yake ilifanyika DRC Congo Mwaka 2022.

3. P-Square Waliingiza Watu 80,000 Show ilifanyika Rwanda Mwaka 2012.

4. Davido Aliingiza Watu 70,000 Show yake ilifanyika nchini Mali Mwaka 2017

5. Cassper Nyovest Aliingiza Watu 68,000 Show yake ilifanyika nchini SA Mwaka 2017

6. Wizkid Aliingiza Watu 62,850 Show yake ilifanyika UK Mwaka 2023.

7. Cassper Nyovest Aliingiza Watu 62,760 Show yake ilifanyika nchini SA Mwaka 2018

8. Burna Boy Aliingiza Watu 60,000 Show yale ilifanyika UK Mwaka 2023.

9. Davido Aliingiza Watu 50,000 Show yake iliyofanyika Sierra Leone Mwaka 2017.

10. Wizkid Aliingiza Watu 45,000 Show yake ilifanyika Sierra Leone Mwaka 2016.

Written by Mjanja M1
 
Back
Top Bottom