Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

The dumb Professor

JF-Expert Member
Dec 10, 2023
660
1,400
Habari,
Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje.

Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma.
Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya usafi, vitu ambavyo sikuwahi fanyiwa maisha yangu yote.

ilifikia hatua mpaka unaweza kuwaogopa wanawake na majibu Yao lakini saivi Kila mwanamke ni mpole na mcheshi kwangu mpaka nashangaa wamebadilikaje?

Kipindi nipo jobless nilikuwa napata sana tabu kupata wife material maana hata videmu nilivyokuwa navyo vilikuaa vinaniletea jeuri,kiburi na kutaka kuniendesha.

ila sasaivi Kila mwanamke ninayetoka naye anaonesha tabia zote kabisa za uwife material. Anakuwa mpole,mkarimu,msikilivu,mstahimilivu na mnyenyekevu.
Mpaka Sasa nashindwa hata kuchagua mke.

Kipindi nipo jobless nilikosa wife material,ila saivi nashindwa Sasa kuchagua yupi ni more wife material.

Naombeni ushauri wakuu, nisije nikawa naigiziwa tu nikajiroga kuingia kwenye ndoa na jini mnywa mafuta.

Na kama wananiektia mapenzi tu kwa Sasa, nifanyaje kuwajua walio real na wanaofake?

Wazee mliotoboa Kabla hamjaoa mlifanyaje kuuruka huu mtego?
 
Kuwa kama zombie haujui .

We pelekea moto TU alafu uwateme.

Only love your mummy kama Mimi na Lovelovie 🥰😘
 
Utapigwa na jiwe we hapo tembeza bakora mpka wakome alafu ghafla jifanye umeachishwa kazi watakaobakia ndio chagua wa kuoa
Mzee wanasema pesa haifichiki, Hawa viumbe wananusa.

Saivi nashangaa hata kwenye daladala gari liko empty kabisa ila unaweza shangaa anakuja mdada kukaa nawewe siti moja na anaanza na salamu, akati zamani Mimi ndo nilikuwa nawafata na najipendekeza wananipiga mikausho mikali
 
Back
Top Bottom