Wayahudi wengi waanza kumrudia Mungu, amewanusuru kwa maafa kama alivyokua anafanya enzi zile

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Hapa sasa ni mpambano kati ya Mungu wa Wayahudi na yule wa waislamu, kila muislamu leo hii anapiga magoti kwa bidii na kuiombea Israel ife, ifutike, nao Wayahudi wamemrudia Mungu wao wakiomba awanusuru kwa hili kama alivyowanusuru tangu enzi za mababu zao akina Musa, Daudi na wengine.

Sasa Mungu yupi ndiye wa kweli litajulikana kwenye huu mpambano, inanikumbusha kisa cha Elija na wale wafuasi wa 'mungu' baal, ilibidi ijulikane nani Mungu wa kweli.

Mtume muhammad alichinja sana Wayahudi pale Banu Qurayza, ila akashindwa kuwafuta, akajifia na kuzikwa na kuwaacha Wayahudi, Hitler alijaribu kuchinja Wayahudi na kuwafuta, ila naye akajifia na kuzikwa na kuwaacha Wayahudi wapo wapo tu, inaonekana Wayahudi wanamuabudu Mungu mwenye nguvu sana, sio rahisi kuwafuta.
Juzi hapa HAMAS wamejaribu kuwafuta, leo wanafutwa wao.

==============================================

War with Hamas pushes Israelis closer to God​

"Before this war, my life was entirely secular; since October 7, that lifestyle has undergone a profound transformation."​

"Since October 7, I have embraced several commitments:

Tefillin [phylacteries worn during prayer] and morning prayers, occasionally Mincha [afternoon prayer] and Arvit [evening prayer], observing Shabbat, adhering to a six-hour wait between consuming meat and dairy, reciting Birkat Hamazon [the blessing after meals], blessing every food and drink consumed throughout the day, increasing acts of charity, saying the Asher Yatzar [blessing recited after using the restroom], engaging in daily self-reflection, and earnestly praying for mercy upon the people of Israel.

"Before this period, my life was entirely secular; since October 7, that lifestyle has undergone a profound transformation."
 
Mambo yao muwaachie wao wenyewe, uyahudi na ukristo ni imani mbili na dini mbili tofauti, sijui kwanin vilaza wafia dini huwa hamtaki kujifunza.

Huyo Mungu wenu wa biblia ni Tofaut na yule wanayemuabudu wao japo vichaa wenu humo makanisan(wachungaji) wanalazimisha , usawa wa hizi dini mbili za uongo.

Amkeni enyi wajinga hakuna taifa teule wala nini mtadanganywa mpaka lini
 
Umekurupuka ndugu, unashambulia Wakristo wakati andiko linapambanisha Mungu wa Wayahudi dhidi ya wenu huyo, mpaka sasa wenu ameshindwa kwa namna yote.
 
Sasa Mungu yupi ndiye wa kweli litajulikana kwenye huu mpambano, inanikumbusha kisa cha Elija na wale wafuasi wa 'mungu' baal, ilibidi ijulikane nani Mungu wa kweli.
Acha utoto, kwahiyo unataka kusema Hitler au stalin walipochinja wayahudi combined 8 Million ina maana Mungu wa wayahudi alikua feki? kuonea mtu uliyempora ardhi, asiye na jeshi, asiye na mipaka haijawahi kuwa proof kuna Mungu au lah.
Hitler alijaribu kuchinja Wayahudi na kuwafuta, ila naye akajifia na kuzikwa na kuwaacha Wayahudi wapo wapo tu,
Hapana, Hitler alipunguza Jewish population by an entire half yaani leo hii wayahudi wangekua mara mbili ya hapa kama sio Hitler. So indeed aliwasafisha, waliosalia ni wale waliokua wanaishi US huko na Uingereza.
Juzi hapa HAMAS wamejaribu kuwafuta, leo wanafutwa wao.
Hamas wanapigania uhuru wao jambo ambalo haijawahi kuwa kosa kokote duniani. Unless mlitaka muwapore ardhi huku wanawaangalia tu.
 
Yahweh ataingia kazini sasa na amekuwa akiwatelekeza wana wa Israel pale wanapomuudhi kama maandiko yanavyosema lakini hurejea kwao pale wanapotubu na kumrudia.
Jeremiah 31:18-21
Wametubu lini? Nchi imejaa mauaji na ushoga wamemrudia Mungu lini? Acheni kufuru.
 
Acha utoto, kwahiyo unataka kusema Hitler au stalin walipochinja wayahudi combined 8 Million ina maana Mungu wa wayahudi alikua feki? kuonea mtu uliyempora ardhi, asiye na jeshi, asiye na mipaka haijawahi kuwa proof kuna Mungu au lah.
Hapana, Hitler alipunguza Jewish population by an entire half yaani leo hii wayahudi wangekua mara mbili ya hapa kama sio Hitler. So indeed aliwasafisha, waliosalia ni wale waliokua wanaishi US huko na Uingereza.
Hamas wanapigania uhuru wao jambo ambalo haijawahi kuwa kosa kokote duniani. Unless mlitaka muwapore ardhi huku wanawaangalia tu.

kabla Hittler, hata 'mungu' wako muhammad alijaribu kuwafuta Wayahudi, il akaishia kuzikwa yeye, tena kaacha maagizo Wayahudi wasakwe wauawe, ila kila mkijaribu kutekeleza hayo maagizo mnakufa nyie

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him
 
Wayahudi wa Bani Qurayza katika mji wa Madinah pale saudi Arabia ,walichinjwa kwasababu waliingia makubaliano ya amani na Mtume Muhammad (pbuh) lakini walikiuka makubaliano na kuanza kumsaliti na kufanya njama dhidi ya waislam.

Walihukumiwa kwa mujibu wa kitabu chao wenyewe

Kumbukumbu la torati 20:10-15

"Utakaposongea karibu ya mji kwenda kupigana juu yake, ndipo utakapowapigia ukelele wa amani.
11 Itakuwa utakapokujibu kwa amani, na kukufungulia, ndipo watu wote watakaoonekana humo watakufanyia kazi ya shokoa, na kukutumikia.
12 Na kwamba hautaki kufanya amani nawe, lakini utafanya vita juu yako, ndipo uuhusuru;
13 na Bwana, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga;
14 lakini wanawake na watoto, na wanyama wa miji, na vilivyo mjini vyote, navyo ni nyara zake zote, uvitwae viwe mateka kwako; nawe utakula nyara za adui zako alizokupa Bwana, Mungu wako.
15 Utaifanyia vivyo miji yote iliyo mbali sana nawe, isiyokuwa miji ya mataifa haya."
 
Wametubu lini? Nchi imejaa mauaji na ushoga wamemrudia Mungu lini? Acheni kufuru.
Hakuna nchi isiyo na hao mashoga hata Tanzania wapo tena zaidi kwenye maeneo yenye waislamu wengi.

Pia hakuna nchi duniani ambayo haina watenda dhambi na Israel ipo duniani vilevile.
 
Attachments

  • Screenshot_20240121-103750.jpg
    Screenshot_20240121-103750.jpg
    105.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240121-104402.jpg
    Screenshot_20240121-104402.jpg
    119 KB · Views: 2
Hakuna nchi isiyo na hao mashoga hata Tanzania wapo tena zaidi kwenye maeneo yenye waislamu wengi.

Pia hakuna nchi duniani ambayo haina watenda dhambi na Israel ipo duniani vilevile.
Sawa ushapata baraka?
 
Back
Top Bottom