Kila mwanamke ninayetembea naye uolewa; nina nyota ya ndoa nimesaidia wengi waliokata tamaa

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu.

Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao wamekuwa wakiolewa. Sijui kwanini utokea hivyo na nilikuwa sifahamu hilo hadi juzi aliponipigia simu mwanamke mmoja na kuniambia maneno yafuatayo " wewe kaka ubarikiwe sana, umetusaidia sana kuolewa mimi na marafiki zangu niliowalengesha kwako; una nyota ya ndoa hivyo jitunze usipate maradhi." Kauli hii ilinifanya nifanye self evaluation na kubaini hakuna mwanamke niliyetembea naye ambaye hana ndoa. Hata mabinti waliokuwa na miaka 40+ plus walipotoka kwangu walikwenda kukutana na ndoa

Wanaume hizi taarifa zitusaidie kufanya self evaluation na ukijiona una nguvu chanya kama mimi basi jitunze na wasaidie wahitaji bila kutaka ujira wa mweha.

Pamoja na yote haya lakini SIJAWAHI NA SITOKAA NITEMBEE NA MKE WA MTU. Wapenzi wangu wote walioolewa niliwakimbia kuepusha kumkosea mtoa ndoa. Niwaombe vijana pia tusiendeleze mahusiano na wake za watu. Tuwasaidie waolewe tusonge mbele ........

True story, let as do self assessment and evaluation to identify these characters within......

Kwa wale ambao kila wakitembea na mwanamke hapati tena ndoa au akitembea na mke wa mtu ndoa inavunjika pls wahurumieni dada zetu msiwatongoze mtawaaribia maisha.
 
Unahalalisha uzinzi,halafu ni huolewa sio uolewa,kiswahili kimewashinda vijana.
 
LIPIA TANGAZO,Yaani Unataka kuwarubuni dada zetu hivi hivi?!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
I mean no malice to nobody
tapatalk_1573179907198.jpg
 
Mkuu naomba uje utembee na mdogoangu nae apate ndoa maana vijana wanaishia kumzalisha tuu halafu wanaingia mitini kwakigezo cha kutaka Mbegu nyeupe yaani kwakua mdogoangu Mweupe nawao wanataka wapate watoto weupe hivyo wanaishia kumzalisha na kusepa
 
Back
Top Bottom