Wanawake walio wengi waleo wanatumia dildo na kusagana ni ngumu sana kwa wanaume kuwaridhisha

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Kama kisemavyo kichwa cha habari ni ngumu sana kuwaridhisha wanawake wa kileo kwa sababu huwezi shindana na dildo ambalo linatumia umeme

Japokua kumekua na vilio vingi kwa upungufu wa nguvu za kiume ila ukweli ni kwamba mtindo wa maisha wa wanawake wengi ni ngumu sana kuwaridhisha

Zaman ilikua ni ngumu sana kusikia upungufu wa nguvu za kiume sababu wanawake walikua wanajitunza na hawatumii haya madildo ukimgusa kwanza ni wa moto na ana-hisia kali ila sio hawa ma-dildo

Asilimia kubwa ya wanawake wa mjini (city girls) wameshapitia experience ya kusagana japokua walishaacha imagine mtu alisha-sagana ndo unaingia naye kwenye mahusiano lazima akuone huna nguvu za kiume

Mwanamke anaweza akawa single ila dildo likawa linamsuhulikia kisawasawa

Kuishi na mwanamke kama mke kwa zama hizi ni changamoto sana
 
_20240201_211524.JPG
 
Bongo sex ipo overrated sana.

Wazungu mpaka mke na mume wananunuliana toys.. sisi mpaka toys tunazionea wivu.

Binafsi naona bora mwanamke anaetumia toy kuliko anaefanywa na wanaume wengi wanabadilika badilika
 
Back
Top Bottom