wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Watu wengi watajiuliza kuhusu Iran ajali iliyotokea ila ni wajuze kuhusu Helikopta

    Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta. Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni mdogo sana sababu balance yake inategemea uwezo wa panga zake ikishindikana basi. Idadi ya mafundi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena Tax: Hali ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji haitabiriki

    DODOMA - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax ameliambia bunge kuwa haIi ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji wenye urefu wa kiIomita 922.76, haitabiriki kutokana na mashambuIizi yanayofanywa na kundi Ia kigaidi Ia Ansar Al Sunna Wal Jamaah (AASWJ). Chanzo...
  3. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

    Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria. Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tunajua Mungu alimuumba Adam; je ulipata kujua ilitokeaje Dunia ikawa na watu wengi? Ni hatima ya watu weusi?

    Tupate majibu yako na huku ukitipatia chanzo chako. Mm chanzo habari yangu ni sunnah.com ambapo utasoma ktk Hadith ya 119 ya Mishkat Al-Masabih
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unaojifariji mbeleni watabadilika wengi wao wataendelea kukuumiza badala ya kubadilika

    UNAOJIFARIJI MBELENI WATABADILIKA WENGI WAO WATAENDELEA KUKUUMIZA BADALA YA KUBADILIKA. Kuna usemi maarufu usemao kama huwezi kumpenda mtu vile alivyo sasa mwache na usijidanganye kumbadilisha awe utakavyo ndio umpende. Huo msemo una maana pana hasa ukiwalenga watu ambao wanajifariji kuwa ipo...
  6. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze Kiswahili tuache ujanja ujanja!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!. Maneno hayo ni :- 1.Uzuri 2.Urembo Haya ni maneno mawili tofauti,lakini watanzania wengi wamekuwa wakidhani ni neno moja...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Huenda hukuzifahamu ngoma zenye mashabiki na wafuatiliaji wengi duniani

    Wacha niwaorodheshee Top 15 ya ngoma pendwa duniani 1. Despacito ya Luis Fonsi na Daddy Yankee yenye watazamaji 8,441,831,151846,384 YouTube 2. See You Again ya Wiz Khalifa na Charlie Puth yenye watazamaji 6,263,172,6341,058,775 YouTube 3. Shape of You ya Ed Sheeran yenye watazamaji...
  8. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wengi wanapenda kulalamika?

    Mawasalimia kwa jina la jamhuri. Leo nimeona nilete uzi mdogo hapa kwenu kwa swali nililoliwaza sana. Kwanini Waafrika wengi tunapenda lalamika? Hapo awali nilidhani tatizo ni umaskini, ila pia kwanini matajiri pia wanalalamika? Nimepita baadhi ya nyuzi kibao huku, nimeona wengi wana express...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ERB na Surveyors Registration Board fuatilieni personnel walioko kwenye miradi ya umma. Wengi hawana sifa na vyeti vya kughushi

    Kwa muda wa miaka 10 niliokuwa kwenye sekta ya ujenzi, nimegundua kuwa kuna watu wengi hawana sifa za kitaaluma wana vyeti vya kufoji vya ndani na nje ya nchi. Kwa kuwa bodi za kitaaluma (ERB na nyinginezo) hazifanyi due diligence, watu hao wamekuwa wakitekeleza majukumu kwa nafasi kubwa wakati...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa Kiafrika hawajui kupenda

    Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake wengi ila sio wote wa Kafrika au weusi kwa ujumla hawajui maana ya kupenda. Wengi wao wanaigiza...
  11. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa zina washauri wengi?

    Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA. Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi. Ukiingia mitandaoni na penginepo, kila Tom na Jeri anafundisha kuhusu ndoa. Hata wachungaji nao ati ni...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Walimu wengi wa ndoa ni wachonganishi wa familia: Pesa zote zinapaswa kusalimishwa kwa Mume kichwa cha familia

    Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia. Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana. Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
  14. mnyandzombe

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa wanawake wengi hawaamini kama waume zao anaweza ishiwa pesa?

    Habari za mida hii?? Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuni ruzuku uhai. Mara kadhaa nimeskia wanaume wenzangu wakilalamika kuwa wake zao hawaamini kabisa kuwa hawana hela katika kipindi chao cha maisha. Lakini pia nimesikia mara kadhaa wanawake wanasema ''mwanaume haishiwi pesa''. Kwa utafiti...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi: Vijana msiogope kuoa, wanawake ni wengi. Anayetelekeza watoto ni mwanaume suruali

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Ally Hapi amewataka Wanaume kuacha kutelekeza Watoto huku akiwasisitiza Vijana kuoa . Hapi amesema hayo akiwa Mkoani Singida May 10,2024 ambapo amesema “Nataka tuone mkakati kweli tuna tatizo kubwa la Watoto wa Mitaani na sio Singida tu ni kote...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua, waimbaji wengi wa injili wa sasa hawana Yesu, ni biashara zaidi

    Baada ya sekeseke la waimbaji wengi wa Injili hususani wa kike kuharibu ndoa zao, watu wengi wamehoji nini chanzo cha hayo yote. Ukweli ambao hausemwi na labda haujulikani ni kuwa, wengi wa waimbaji wa injili hawana maisha ya Yesu ndani yao, wapo waliowahi kuwa na Yesu hapo kabla lakini...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu. Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inahitaji mawakili wengi kama Kibatala

    Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea. Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa vitendo baada ya tukio la kukatwa jina lake mwaka 2015. Ingawa sidhani kabla ya hapo kama alikuwa...
  20. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

    Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea kwenye mic. Hivi sasa ile umezubaa tu mtu kashadaka mic nakuanza kutuma salamu watoto uoga wa...
Back
Top Bottom