Nasikitika sana wengi wenu hamjamuelewa Kiumakini Msemaji wa Simba SC juu ya Uwanja watakaoutumia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,037
"Kwa sasa Simba SC tutautumia Uwanja wa Azam Complex kwa Mchezo wetu dhidi ya Tembo katika Mechi ya ASFC Keshokutwa na Taarifa ya Simba SC itatumia Uwanja upi kwa Mechi zake za Ligi Kuu ya NBC na CAFCL itatolewa baadae" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa E-Sport ya EFM Radio aitwaye Said Kilumanga usiku huu wa leo.

Na wenye Akili tunajua kuwa Kauli hii ya Ahmed Ally (Msemaji wa Simba SC) imetolewa leo kwakuwa wameona itakuwa ni Usumbufu kuihamisha Mechi yao hiyo ya Keshokutwa (Jumatano) ikachezwe ama Amani Complex au CCM Mkwakwani (Tanga) au Sheikh Amri Abedi Kaluta (Arusha) wakati tayari Wapinzani wao hao Timu ya Tembo wako Jijini / Mjini Dar es Salaam na kwamba Kuwahamishia Kwingineko itakuwa ni Kuwatesa na hasa hasa Kuharibu Bajeti yao ukizingatia kuwa bado ni Timu changa na ina Ukata/ Umasikini mwingi.

Baada ya Mechi yao hiyo ya Keshokutwa (Jumatano) Uongozi wa Simba SC utafanya Kikao chake cha Utendaji ili kuamua ni Uwanja upi utumike kwa Ligi Kuu, FA (ASFC) na Mechi za CAFCL

Na kama Simba SC wataamua rasmi kubakia Azam Complex kubanana na Yanga SC basi jueni kuwa tayari Mtaalam ameshaletwa Kutegua yale Mabomu yote ya Kiushirikina/ Ndumba yaliyowekwa hapo Uwanjani na Kunuwiwa kupata Mafanikio kwa Timu zote zitakazocheza nayo hapo.

Na ikitokea Simba SC wakaamua kwenda kucheza nje ya Mkoa wa Dar es Salaam basi wataenda katika moja ya Mikoa ifuatavyo......

CCM Mkwakwani (Tanga)

Sheikh Amri Abedi Kaluta (Arusha)

New Amani Complex (Zanzibar) hasa hasa kwa Mechi zake za Kimataifa za CAFCL.
 
Uwa nasikitika sana Viwanja vyene jina la CCM ni kama vimetelekezwa...CcM Kirumba nyasi zimekua za njano,CCM Mkwakwani wameikarabati saivi angalau na hapa ni sababu bwana yule ni Wa Chumbageni...Dodoma uwanja ukipita na Basi unaona mpaka ndani Live..Abeid Amani nao walewale wanazidiwa na Kagera Sugar..Manungu topetope nahizi mvua za Moro bora ulifungiwa...
 
Hichi Kiburi Wanamsimbazi Mlichonacho Sasa No Sababu Team Yenu Hahijaingia Uwanjani.

Maana Zitafata Vipigo Na Kulaumiana Kama Kwenye Kikao Cha Mwisho.
 
BINAFSI NILIACHANA NA HIZO TIMU ZENU.

Siwezi nikawa na Ushabiki na mwanachama kwenye timu ambayo.

1. Haina uwanja tangu mwaka 1935.

2. Haina uwekezaji unaoeleweka Mo na chupli.

3. Selikali kuwabana wawekezaji wasiweze kuzimiliki hizo timu 100%

4. KUkosa Academy za maana.

5. Sajili za Bure za kuokoteza wachezaji Free Agent

HADI LEO BILIONI 20 HAIJULIKANI IPO WAPI
 
Uko sahihi
 
Gii ndio maana ya Soka letu, kivyetu vyetu. Hiyo ndio timu inajinasibu kwamba wao ni miamba ya Afrika na sasa watatcheza Klabu Bingwa Duniani. Time yenye nafanikio ya kuanzisha Channel ya Whatsapp.
 
BINAFSI NILIACHANA NA HIZO TIMU ZENU.

Siwezi nikawa na Ushabiki na mwanachama kwenye timu ambayo.

1. Haina uwanja tangu mwaka 1935.

2. Haina uwekezaji unaoeleweka Mo na chupli.

3. Selikali kuwabana wawekezaji wasiweze kuzimiliki hizo timu 100%

4. KUkosa Academy za maana.

5. Sajili za Bure za kuokoteza wachezaji Free Agent

HADI LEO BILIONI 20 HAIJULIKANI IPO WAPI
Usiwe unachangia kabisaa..
 
Yani mpk mechi za club Bingwa Benjamini Mkapa utakua umefungwa tuu?? Wana laana hawa...
 
Back
Top Bottom