wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wataalam wa Tiba Asili nao wameshindwa kupata Tiba ya mtoto wa jicho?

    Hospital hakuna Tiba ya cataract zaidi ya upasuwaji je wataalam wa miti shamba nao ugonjwa huu umewashinda?
  2. Cheology

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa mimea, dawa nk huu ni mmea gani

    Huu mmea nimekuta sehem umejitenga na mimea mingine, Sijapata kuliona pahala popote. Kwa anayejua
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  4. hp4510

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalam wa sheria za mitandaoni

    Kuna ndugu yangu amekopa ela kutoka kwenye hizi online company Sasa deni lake limezidi Kwa siku mbili, sasa kilichotokea Leo Ile kampun imetuma sms kwenye namba zote ambazo zipo kwenye simu za mkopaji Swali langu sasa hapa ni kwamba 1. Hiyo loan campan imepata wapi Ruhusa ya kuona mambo yote...
  5. Luhende joseph

    JamiiForums Tanzania Vifungashio vya mazao jamii ya kunde

    Habarin Wana-JF, Nahitaji msaada wa kujua ninawezaje kupata vifungashio vinavyokubalika kisheria vya kufangashia mazao jamii ya kunde na kama kuna mashine zinazoweza kubana nahitaji kuanzisha biashara ya kupaki na kusambaza dengu ila nataka niwe na nembo yang maalum so nimeshindwa namna ya...
  6. excel

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

    Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii? Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

    Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
  8. dopamine-B

    JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    [NOTICE] May 2024 Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majanga Hanang majibu ya kebehi ya wataalam TANESCO kuhusu suala la umeme

    Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
  10. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power. Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe na taa kushindwa kuwaka. Je, kwa hali ya kawaida ninaweza kuondoa feni ya inverter, ili kupunguza...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri kwenye majanga viongozi wa serikali wafike mwisho; wataalam wapewe vipaumbele kwanza

    Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji! Hii haina afya kabisa! Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa! Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao...
  12. Voice of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wataalam msaada please

    Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ? Maana kisukari kishapanda hapa
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je, kilichotokea ni mpango wa Waisrael? Wataalam wa intellijensia maoni tafadhali

    Mpaka kati ya Gaza na Israel ndio mpaka unaolindwa kwa nguvu zote kuliko mipaka yote duniani. Kuna camera na teknolojia za kisasa za ulinzi, kuna patrol za mara kwa mara za wanajeshi wenye vifaa vya kisasa, kuna hadi kambi za jeshi karibu zenye ndege na vifaa vya kisasa kabisa. Iron Dome huwa...
  14. Plastic

    JamiiForums Tanzania Weka picha za mifugo yenye magonjwa mbalimbali upate ushauri wa tiba na kinga kwa wataalam

    Habari wanajamvi. Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali? Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k) tunaowafuga au tuliowahi kukutana nao wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali ili tujifunze na kupata ushauri wa...
  15. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

    Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia. Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone. Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo. Pia kama unafahamu Airbnb nzuri nitajie nataka nikitoa leo ghetto narudi jumapili jioni.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haya kuhusu Homa ya Ini, Homa ya Manjano

    Habari za majukumu, Niko hapa nikiwa na kuchanganywa na vitu vifuatazo. Ambavyo ningeomba msaada 1. Kuna tofauti gani Kati ya chanjo ya homa ya Ini na yellow fiver 2. Sina maambukizi pia sijawahi chanjwa nimepata mwaliko wa safari za kimataifa, nauliza ni hospitali zipi naweza pata huduma...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA miaka yote wameweza kuwa na safu nzuri ya wataalamu kwenye hoja kuliko Serikali? Wanapataje wataalam wao?

    Ukisoma analysis za miaka yote za CHADEMA zina element ya consistence kwenye neutrality za hoja. Most of time wameweza sana kutokutoa advice,comment au maazimio ya kichama yanayokinzana na wananchi waliowengi. Wana toka na maazimio ambayo kila mtu akiyasoma anaelewa. Lakini jambo la pili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni ubunifu. Mafundi wa kazi kama hii wanapatikana Dar es salaam?

    Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI ! Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine. Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
  19. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti yoyote kuacha kula chips na kuhamia kula ndizi za kukaanga kiafya?

    Mtu akiacha Kula chips lakini anakula ndizi za kukaanga...kuna mabadiliko yeyote hapo ya maana health-wise? Kingine nimesikia maji baridi Yana madhara.....yanasababisha ugonjwa wa Moyo...hii nayo kweli au uzushi?
  20. AKAN

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu. karibuni kwa nyongeza ya maoni...
Back
Top Bottom