hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,452
- 6,325
Kuna ndugu yangu amekopa ela kutoka kwenye hizi online company
Sasa deni lake limezidi Kwa siku mbili, sasa kilichotokea Leo Ile kampun imetuma sms kwenye namba zote ambazo zipo kwenye simu za mkopaji
Swali langu sasa hapa ni kwamba
1. Hiyo loan campan imepata wapi Ruhusa ya kuona mambo yote yanayofanyika kwenye simu ya mteja?
2. Simu zetu sio salama tena Kwa sababu kama mtu wa kampun anaweza kuacces call and everything kutoka kwenye simu ya mteja means hakuna privacy
3. Kama anataka kuchukua sheria anaanzia wapi kwa ushauri tu