Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

dopamine-B

Member
Sep 1, 2012
85
269
Habari za Harakat za Maisha Wana forum.

Mimi ni kijana WA Miaka 32

3 months ago nimekutana na demu, nikapiga kawaida Tu bila mpira.....

Nikapata UTI nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....

Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...

Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...

Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....

Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..

Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.

Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus

Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)

Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.

2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,

UPDATE: Ugonjwa niliokua diagnosed nao ni bacterial infection Kwa prostate. Hii imepelekea kupata chronic Bacterial Prostatitis sababu ya kuto kupata matibabu ya uhakika mapema.

This condition is treatable.
It takes time. About 4 to 12 weeks or more.

Vipimo kama culture, urinalysis au swab mara nyingi havioneshi kitu, uhakika ni kufanya Trans Rectal Ultrasound.

Dawa zinazotibu Kwa kimalifu ni fluoroquinolones na macrolides, pelvic exercises, stress management pamoja na supliments za vitamins mbalimbali.

IMPORTANT NOTICE: Kamuone Urologists Specialist, usipoteze muda.
 
Habari za Harakat za Maisha Wana forum.

Mimi ni kijana Nina miaka 32.
Nimeugua UTI mara moja last year mwezi nov, baada ya kutumia mlango wa nyuma....
Nikaenda hospital nikapewa flucamox na metronidazole siku tano nikapona.

3 months ago nimekutana tena na demu yuleyule, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikaikasirisha mizimu....

Nikajua ni Ile UTI tena imerudi, nimekunya flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....

Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...

Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...

Nimetumia antibiotics for 3 consecutive months Hadi mdomoni nimepata candida..
Nikajua hapa basi nishaukwaa...

Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....

Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..

Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.

Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus

Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)

Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.

2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
Ndiyo kwaheri hiyo, kwanza uzazi sahau.

Mkiambiwa zinaa na uasherati ni uchafu msiukaribie mnajifanya hamuelewi, mnaongeza na kufirana juu yake.

Shenzi taipu.
 
Nitakufa sure death is certain..
Mlango wa nyuma!my friend!!

Kunywa maji mengi ukojoe sana!!

Halafu tafuta mizizi ya mlonge au drumstic au moringa oleifera safisha vizuri kata kata chemsha mpaka ichemke kama nusu saa au dakika 45!kunywa chai yake ni Kali Sana kooni kunywa vikonbe viwili vya chai asubuhi na jioni!utahisi KIU ya maji sana kunywa maji ushinde unakojoa kojoa Fanya hivyo Kwa siku tati Hadi saba!Kila siku chemsha mizizi mipya!!!

Najua jogoo atawika sana we piga kazi lakini tumia kondom kuzuia maambukizi mapya!endelea na dozi Hadi siku 7 ziishe!!utanipa mrejesho mkuu!!
 
Back
Top Bottom