Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI !
Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine.
Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
Mtu akiacha Kula chips lakini anakula ndizi za kukaanga...kuna mabadiliko yeyote hapo ya maana health-wise?
Kingine nimesikia maji baridi Yana madhara.....yanasababisha ugonjwa wa Moyo...hii nayo kweli au uzushi?
Habari ya majukumu wana JamiiForums,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali.
Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu.
karibuni kwa nyongeza ya maoni...
Kwanza kabisa nawasalimu Sana.
Karibu Moja Kwa moja kwenye Uzi huu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na Elimu ya theolojia. Baada ya kuvuta subra, nimeona niingie rasmi kwenye theolojia.
Baada ya kutafakali Sana. Nimeona niwashirikishe Wana JF ambao teari mmepita huko kwenye vyuoni vya Elimu...
Ukikaa vijiwe vya Kahawa Tanga hasa kwamsisi, Handeni na Pangani ukasikiliza Stori za wananchi utatambua umuhimu wa kuziweka mamlaka za uteuzi mikononi mwa Mungu.
Watu wanaratiba kabisa yakwenda kuongeza nguvu za kimamlaka wengine wanatumia magari binafsi huku wachache wakitumia magari ya umma...
Nina rims ambazo zilikuwa silver wakapiga rangi nyeusi flan hivi haijakolea. But inabanduka hata kwa maji ya presha..
Nataka kurudia kupiga rangu rims napenda ziwe nyeusi. Wapi naweza pata wataakamu au je naweza piga rangi mi mwenyewe hizi za kununua kwenye kopo?
Habari...
Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi nyeupe kwenye kioo kizima (White Screen of Death)
Ikiwa hivyo huwezi kuona lololote wala kufanya...
Mwaka juzi nilimtafuta Prof Mmoja aliyekuwa Chuo, nilienda kuomba ushauri fulani wa Kilimo, nikaambiwa amestaafu na kuchukuliwa na Wizara ya Kilimo Nchini Zambia kama mshauri mkuu.
Nikawa nawazia kuwa wataalamu kama hao ni vizuri kuwafuatilia na kunufaika nao kwa kadri inavyofaa.
Mfano...
"Badilisha Biashara Yako kwa Masuluhisho ya Sayansi ya Data "
Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini.
Faida za Kufanya Kazi na Mwanasayansi Maarufu wa Takwimu.
Mwongozo wa Kina wa Zana Bora za Sayansi ya Data.
Maudhui:
Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini :
Katika ulimwengu wa kisasa wa biashara...
Kwanini tunaaminishwa kwamba mtaalamu na msomi wa uchumi NI mmoja tu Bungeni? Kama waziri wa Fedha ndiye mchumi pekee kwenye Bunge zima hoja za kiuchumi zitajadiliwa vipi?
Kwanini nchi ikubali kuwa na mchumi mmoja Tu na anayeamini yeye ndiye mtaalam wa uchumi na kwamba mtu mwingine yeyote...
Ule Mwaka 2022 umeniendea vibaya Sana. Sijui hata huu 2023 labda ninyi watu wa number mwaweza Sema lolote.
Nakumbuka nilikosana na mazingira ya kazi tangia 2021 mwishoni. Mwaka 2022 implementation ya usumbuf, KERO na maudhi viliniandama.
Ee mola ufanye 2023 uwe mwepesi kwangu.
Kwa jinsi palivyo sasa Tanganyika Packers Kawe na Ujenzi unaoendelea, Kulivyobanana na hata Hali ya Usalama kuwa si nzuri nikisikia kuna Tamasha lolote lile linataka Kufanyika naanza kuingiwa / kujawa na Hofu Kubwa kuwa huenda Madhara Makubwa ( Vifo au Watu Kujeruhiwa ) kukatokea na baadae...
Habari za jioni,
Wataalam wa nyoka na wazee wa pori, napenda kujua huyu ni Aina gani ya nyoka and kama ana sumu au hana.
And vipi tabia zake, anatembea mwenyewe au wawili wawili.
Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?
Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi.
Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
Nimeona watu wanamiliki maduara, wengine wanamiliki crushers tu, wanasaga mawe ya watu, wengine wanamiliki plant au elusion plants.
Wengine wanamiliki detectors wanakodisha, wengine ni wanunuzi wa dhahabu end products, wengine wanarundika michanga (marudio) yenye PPM nzuri na kuuza.
Kwa mtaji...
Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi.
Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda.
SWALI: Wale...
Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea!
Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.