Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 876
- 4,101
Ukisoma analysis za miaka yote za CHADEMA zina element ya consistence kwenye neutrality za hoja. Most of time wameweza sana kutokutoa advice,comment au maazimio ya kichama yanayokinzana na wananchi waliowengi. Wana toka na maazimio ambayo kila mtu akiyasoma anaelewa.
Lakini jambo la pili wanasoma sana,wana reference nyingi sana katika maazimio yao; hoja wanazojenga hazipo katika mazingira ya ndani bali wanafanya analysis kutoka global level, continent level, country na mwisho kwa mtu mmoja mmoja.
Haya mambo kwa CCM huoni hii ladha. Mfano mzuri leo tumemsikia mwenye nchi, tumewasikia wataalam wakiwemo mawaziri na kisha tumemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA.
Viongozi wa chama tawala na serikali kwa pamoja kila mmoja ameonyesha msimamo tofauti na mwenzake na hakuna consistence kwenye kuaddres issue za wananchi kuhusu bandari. Mbaya zaidi Mhe. Mbarawa kakosea akasema wakishindanisha kampuni akashindwa kuelewa kwamba hoja yake inapaswa kuambatana na tangazo ambalo halipo lakini pia preamble ya Mkataba inasema wazi kwamba rejea kikao...........haisemi suala la ushindani.
Ukimsikiliza Mbowe; ni kama vile ile hotuba ya awali aliyotoa kuhusu hoja ndiyo aliyoisoma kama maazimio ya chama na hoja zote zipo kwenye mjadala.
Pamoja na CCM wakati wote kuchukua critical thinkers wa CHADEMA, kwanini wanashindwa kuwatumia kama Chadema wanavyowatumia? Kwanini CCM inashindwa kuandaa watu wakuaminika? Kwanini tunadhani CCM leo inapaswa kuwa na watu wengi wa propaganda katika kipindi ambacho utandawazi umekuwa hadi vijijini?