Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,831
- 4,498
Wakuu naomba mawazo yenu.
Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power.
Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe na taa kushindwa kuwaka.
Je, kwa hali ya kawaida ninaweza kuondoa feni ya inverter, ili kupunguza matumizi ya umeme wa betri.
Kwanza hii inverter inanipigia sana kelele usiku nikiwa nachaji kimeo changu