wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa marketing. Je, Bidhaa ipi inayouza sana instagram?

    Nataka kufahamu nikitaka kufanya biashara kwa kutumia Instagram. Je ni bidhaa ipi inayouza sana? Wanasema vitu wanavyopenda wanawake ndio vina wateja sana. Wengine wanasema watu wa maofisini (mashefa) ndio wanunuzi wazuri mitandaoni. Ningependa kujua bidhaa moja (niche) nayoweza kuuza kwa...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Kwanini academic certificates zinafanyiwa verification kwa wataalam wa sheria badala ya taasisi husika ya elimu kama RITA wafanyavyo kwa vyeti vyao? Nilipokuwa ninamsaidia mdogo wangu kuomba mkopo wa elimu ya juu...
  3. ECPENDABLE

    JamiiForums Tanzania Wataalam waliowahi kutumia home theatre system SONY WATT 300 wanipe ubora wake in performance au miyeyesho nakaribisha majibu

    Wakuu, msaada kwa ambae amewahi kutumia Sony home theater Watt 300 vipi ubora wake wa sound na performance machaguo yangu ni kama mnovoona kwenye picha nikamate sony au hilo subwoofer nakaribisha majibu.
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Mazingira: Kwanini kuna huduma za kijamii (Shule, Polisi, Hospitali) za kata lakini hakuna hifadhi ya misitu/miti (Mapafu) kwa ngazi hiyo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania wataalam wa mazingira eti; Kwanini kuna huduma za kijamii (shule, polisi, hospitali) za kata lakini hakuna hifadhi ya misitu (mapafu ya hewa safi) kwa ngazi ya hiyo? Au hiyo hifadhi maalum ya misitu kwa ngazi ya kata...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pongezi nyingi kwa kamati ya ushindi Chadema, hakika nyie ni wataalam wa siasa

    Napenda kuipongeza kamati ya ushindi Chadema kwa mkakati mzuri wa kuifanya Chadema kushinda uchaguzi huu, Mambo haya mmeyafanya kisayansi zaidi na kuibomoa kabisa ccm kiasi Cha kukosa Cha kuzungumza mbele ya watu, badala yake unaona mgombea wa ccm anasimama anasema, " Chadema wametumwa na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa maswala ya 'ndumba' pitieni hapa

    Wakuu nimerudishwa nyuma kimaendeleo, kuna mwivi kaingia shambani kwangu kapora mifug 10 wakubwa. Nimefuata hatua za kipolisi na mtuhumiwa anashikiliwa kituoni. Sijaridhika nataka nitafute haki yangu kwa njia tajwa hapo juu, kama unamjua bingwa wa kutoa disiplini acha neno hapa au pm tafadhali...
  7. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Hisabati, swali hili

  8. D

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Editing, msaada kwa hili

    Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi. Kila nikiweka maandishi yanapita rangi nyeusi, yaani hayaishii kwenye Bodi ya rangi nyeusi. Natumia Adobe Premiere...
  9. Mwananchi360

    JamiiForums Tanzania Majukumu na kazi za Meya/ Mwenyekiti wa Halmashauri/ Diwani/ Wenyeviti wa Vijiji, mitaa na Vitongoji

    UTANGULIZI 1.1 Kwa mujibu wa ibara ya 145 na 146 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali za Mitaa ni vyombo vya haki na vyenye mamlaka ya kushiriki na kushirikisha wananchi katika kupanga na kutekeleza shughuli za maendeleo na utoaji wa huduma katika sehemu zao. Serikali za Mitaa...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani sana wataalam na wakuu wa Kenya kwa kuendelea kuwapima Watanzania hata wakija na makaratasi eti vyeti

    Hawa majirani tunaowajua sio wa kuchekwa nao, lazima uwe makini, vyeti watafoji kariokoo na kuja navyo eti wamepimwa, au hata wapewe tu na mamlaka zao huko bila kupimwa, kwa sasa wameshajidanganya hawana corona, hivyo utakuta hata vipimo vyenyewe hawavifanyi ili wasimuaibishe rais kwa kauli zake...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Ndio maana wataalam wa Tz wanajichokea, ushauri wao unakiukwa kwa namna zote

    Huu hapa ushauri wa mganga mkuu wa serikali halafu wakuu wa mikoa wote na viongozi wa ngazi za juu wote wanahubiri visivyo na kupishana naye, nafikiri corona ilikuja kipindi kibaya sana Tanzania wakati wanaelekea kwenye uchaguzi, maana kwamba wanasiasa lazima wateke shughuli zote na kuibuka na...
  12. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Sheria mpo? Hivi Ndugai hawezi kutimuliwa Uspika kwa kuikanyaga Katiba?

    Comreds hi! Hopes twajilinda vyema kwa kutulia nyumbani na Ku take precautions kwa kuvaa mask na kunawa mikono kwa sanitizers. Kwa ufahamu wangu sote tuko chini ya Katiba inayotuongoza. Kuikanyaga katiba kwa sisi watu wa imani nisawa na kumkufuru Roho mtakatibu . Mwalimu Nyerere aliwahi sema...
  13. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Luqman Maloto: Wataalam ni chukizo kwa wanasiasa

    FEBRUARI 7, mwaka huu, China ilimpoteza daktari bingwa wa macho (ophthalmologist), jina lake ni Li Wenliang. Alikuwa kijana mdogo. Oktoba 12, mwaka huu, angetimiza umri wa miaka 34. Wenliang alikuwa anahudumu kwenye Hospitali Kuu ya Jiji la Wuhan. Desemba mwaka jana, alikuwa mtu wa kwanza...
  14. Dam55

    JamiiForums Tanzania Hebu tuangalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais Magufuli Maabara kuu ya Taifa

    Ni jambo la kushangaza na kutia shaka kuona wataalam na wanasayansi wa Tanzania wanavyopinga uchunguzi wa Rais kwa hoja dhaifu. Hii inatia shaka juu ya uwezo wa wataalam tulio nao hapa nchini. Hebu tungalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais kwa jinsi wataalam wetu walivyozitolea...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kutatua matatizo kwa wataalamu tukutane hapa, muhimu;bado naenda kanisani

    Mwezi November 2017 sitakuja kusahau, kuna siku nliamka nikajikuta kama nmekatwa na wembe hivi kwenye mkono , nikagundua kuna washenzi wamefanya yao usiku, nliogopa,basi hio siku nliomba na kusoma biblia kabla siku nzima Ile nimeingia kitandani najifunika blanketi, naskia "cshaaaaaaaa" mchanga...
  16. American nigga

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Forex naweza kuendelea au niache

    Habari wazee, hivi juzi nilianza biashara ya forex kwa kuweka kiasi cha usd 100 kwenye account. na hii ni history tangu nilivyoanza kutrade hadi sasa, naombeni mnipe ushauri kama naweza kuendelea au niache na kama naweza kuendelea nifanye nini ili nipate matokeo mazuri zaidi
  17. Prof T Johannes Chacha

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa wataalam wa Bioteknolojia na Microbiolojia

    Kuna mdau wa JF alisema hawawezi tengeneza dawa. Ok Nitaelekeza kwa mifano Hakuna pharmaceutical compound inayoweza tumika kwenye mwili bila kua na knowledge ya drug target (receptors, ligands, Au microbial cellular parts kama cell walls, plasma membrane, Nucleus, au nucleic acid target) na...
Back
Top Bottom