wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa technology msaadaplz juu ya aka kasimu kangu

    Habar za asubuh wana jf...! Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, ndugu yenu natumia simu ya samsung A04 Hivi juzi nili restore sababu simu ilikuwa nzito sana hivyo nikaamua kufuta vitu vyote ili nianze ku install vitu vingine upya Sasa baada ya kumaliza huo mchakato mzima wa ku restore na...
  2. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Wataalam walioko kwenye Ajira za serikali ni mambumbu ukilinganisha na hawa wanaojiajiri huku kitaa.

    Habari zenu wakuu!? Natuamini mko pouwa kama unaumwa au una smongo wa mawazo basi polee mkuu, yanamuda tu yatakuwa poua. Niende kwenye maada. Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya ambapo kwa kuona na kusikia nimekumbana nao. Nianze na haya maeneo ambayo kiukweli ni janga kubwa! Wataalamu wa...
  3. FK21

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ndoto zina maana?

    Hivi Je Kweli ndoto Zina maana yoyote ile? Maana mimi kuna ndoto inanirudia rudia sana nakuwa naongea na mtu ambae nina muda siongei naye na wala sina access nae tena. Tena kuna ujumbe wowote hapo au mawazo tu maana nina week sasa naota tunazungumza nae nashtuka sasa nashindwa kuelewa
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wataalam Waliostaafu Kuendelea Kutumika Katika Ujenzi na Matengenezo ya Barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wataalam waliostaafu kuendelea kutumika katika ujenzi na matengenzo ya barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  6. FK21

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa simu

    Kuna jamaa anauliza kwanini oppo FS1 inakata kupakua Twitter na jamiiforums ?
  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Magonjwa ya ngozi, hii ni changamoto gani?

    Nimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo! kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.
  8. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Wataalam Wa Mawasiliano Naombeni Ufafanuzi

    Hizi cable/mkongo wa internet unaodaiwa kukatwa chanzo chake ni wapi hadi kutufikia hapa Tanzania? Ila pia mawasiliano ya sasa tunaambiwa ni wireless, sasa kama kuna cable zinapita baharini kuja kuwezesha mawasiliano hapo u wireless unatokea wapi? Mwisho kabisa kwa walio wahi kutumia simu za...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Awabana Wataalam na Mkandarasi SITE, "Naweza Kufukuza Timu Yote"

    BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE, "NAWEZA KUFUKUZA TIMU YOTE" Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es salaam- Lindi katika eneo la Nangurukuru kutokana na...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko. Jeshi linaweza kusaidia? Lina wataalam

    Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba. Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha...
  11. greater than

    JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi: Hawa ndiyo wataalam muhimu wa ujenzi

    Leo katika sikukuu hii ya wafanyakazi duniani, nimeona itakuwa ni vyema kujuzana juu ya wataalam muhimu katika katika tasnia ya ujenzi. Hapa nalenga zaidi ujenzji wa Majengo madogo,yaani Nyumba za chini mpaka ghorofa mbili Frame za maduka Zahanati Shule Majengo ya ofisi 1.AFISA MIPANGO...
  12. msafi WCB

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hii Kozi mpya iliyoanzishwa Muhimbili, Audiology and Speech Therapy Pathology)

    Nomba kujua ukihitimu utafanya kazi kwenye sekta ipi na ipi na majukumu hasa ni yapi?
  13. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Tech naomba elimu yenu kuhusu Apps na websites

    Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites. Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi? Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani? Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mbunge Ameir Abdallah Ameir kuhusu wataalam wa hali ya hewa

    MHE. AMEIR ABDALLAH AMEIR, Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Akizungumza katika Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni jijini Dodoma kwa Wizara ya Uchukuzi na kujibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile. "Serikali huwatambua Wataalam wa Hali ya Hewa na kuwapa madaraja...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Awaondoa Wataalam Wote Wanaosimamia Ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Mlele

    BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI - MLELE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni - Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Watu hawa wanaongoza kutumia wataalam (ushirikina) kwa kuamini unafanya mambo yaende vizuri

    1. Wahalifu - Matapeli, wezi, mapusha, magendo, n.k. 2. wafanyabiashara kwenye masoko 3. Wadangaji
  17. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu kadhaa kwa wataalam wa mambo ya ulinzi na diplomasia kuhusu kinachoendelea huko Haiti

    Niaje waungwana, Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti. Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  19. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Location

    Wapi hapa?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natoka sana jasho na kidole gumba kinawaka moto

    Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo. Nina shida ya Afya!. Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital...
Back
Top Bottom