wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ninani anamshauri Rais kuhusu Hali ya uchumi wetu? Miradi inayoanzishwa inaendana na uhalisia wa uchumi wetu? Wataalam wa uchumi mpo wapi?

    Huko twita mtifuano unaoendelea ni kuhusu tozo...tozo za miamala ya simu ,na tozo katika taasisi za kifedha. Huku mtaani mnyukano uliopo ni kupanda Kwa gharama za maisha,na Hali mbaya ya chakura nchini. Kule Kwa...
  2. Mpinzire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalam wa Tally, Excel, QuickBook na Hesabu mtusaidie ile 100.01% ya Chebukati imekaaje?

    Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata 100.01% na sio 100%! Kila mmoja anasema lake huko Kenya, wengine wanadai Error za kawaida wengine...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo ya anga, physics hili jambo limewezekanaje?

    Kama inavyoonekana hapo chini. Hiyo helcopter sioni engine ikizunguka ila inaendelea kuwa hewani. Je hii ikoje?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  5. ward41

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wataalam wa madini, hii ya Uganda ni KWELI au chai

  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TV wapunguze maneno wanapokuwa katika vipindi mubashara ili wataalam watoe maarifa kwa kina

    Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada, Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina. Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse session ya JamiiForums Mei 26, 2022: Elimu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto

    Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania? Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni Kushiriki...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wataalam, tafadhali naomba kujuzwa jambo lifuatalo:

    Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu. Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango. Kila...
  10. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa sheria masaada unahitajika

    Habari wadau, natumai mko vizuri.... Iko hivi, kuna mshkaji wangu mmoja hivi yeye yuko mwanza huko. Juzi jumaatatu alitangaza kuuza simu yake kwenye mtandao flani wa hapa bongo. Sasa anasema ni watu wengi waliipenda Ile simu Ila kikwazo ni kwamba walikuwa wakiuliza kama ana risiti ya simu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa matibabu wa China waleta matumaini kwa wenye matatizo ya macho Burundi

    Kikundi cha 20 cha madaktari wa China kilichotumwa nchini Burundi hivi karibuni, sasa kinaendelea kuwafanyia watoto upasuaji wa macho bila malipo katika mpango wa msaada wa matibabu Mkoa wa Giheta katikati mwa Burundi. Katika utekelezaji wa mpango huo ulioanza mapema Aprili, wagonjwa 47 wenye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jumanne Kishimba: Asilimia 90 ya wataalam wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana maarifa

    Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi. Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Juzi kati niliona memba humu JF akiandika juu ya taarifa za kemikali zenye sumu kutoka mgodini zilivyoharibu mazingira kwenye Mto Mara na kusababisha vifo vya samaki na pamoja maji kuwa meusi. Baadaye habari hiyo ikasambaa na kuwa kubwa mwisho Serikali ikiingilia kati na kufanya uchunguzi...
  14. Mondela

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Tiba Mbadala walinipima wakaniambia sina ugonjwa ila nina upungufu wa nguvu za kiume

    Habari wakuu? Samahani, kiukweli mimi huwa nasumbiliwa na ugonjwa nisio ufaham ambapo kila baada ya miezi kadhaa naugua ugonjwa dizaini ya malaria na huu ugonjwa umenianza tangu nina almost miaka 5. Na kila Hospital ninayoenda kupima naambiwa sina ugonjwa (Kuhusu hili unaweza nipa ushauri)...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme ushauri 2kva Stabilizer kushindwa kubeba water pump 1hp (750w) na ku trip off

    Ni matumaini hatujambo sote, kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip off... Ukiondoa hiyo AVR pump inafanya vizuri tu Na hiyo AVR kwenye shughuli zingine km...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wataalam "professionals" wa Tanganyika

    WATAALAMU "PROFESSIONALS" WA TANGANYIKA WANAFUNZI WA COUNT VICTOR LUSTIG Uzuri wa Tanganyika ni kuwa unaweza kukodi kila aina ya huduma na kwa kweli fani hii ina wataalamu mabingwa khasa. Mathalan una jambo lako lakini halinogi sharti uwapate masheikh. Hawa "wataalamu professionals," watataka...
  19. polokwane

    JamiiForums Tanzania Serikali kitengo cha TEHAMA: Kwanini mifumo yenu mingi ya online/kimtandao inasumbua sana tatizo ni wataalam au vifaa duni?

    Mifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo? Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Nitatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema atatumia wataalam wa elimu walipo ndani na nje ya wizara ili kuwa na maamuzi yenye tija kwa nchi. Waziri Mkenda amesema hayo leo Januari 13, 2022 jijini Dodoma wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo...
Back
Top Bottom