walimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Wizara ya Elimu; Walimu wa hisabati shule za msingi hawapo

    Uhakika wa uchunguzi uliofanywa ktk shule za mkoa wa Dar es salaam ulio na walimu wengi umeibua chanzo kikubwa cha kufeli kwa wanafunzi somo la hisabati katika matokeo ya mtihani wa taifa kuwa ni uhaba mkubwa Sana wa walimu wa somo la hisabati ambapo walimu karibia wote wanaofundisha somo la...
  2. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Walimu wamsubiri Rais Samia kwa hamu kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya CWT Mwanza

    Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu...
  3. Niwaheri

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi na maafisa utumishi chanzo cha mikopo kausha damu kwa watumishi, hasa walimu na manesi

    Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtumishi wa umma anaenda kukopa taasisi zenye riba kubwa na matapeli wakati anauwezo wa kukopa benk kama NMB na CRDB ambapo ni salama kwake. Kumbe chanzo ni nyie nyie serikali kupitia wakurugenzi na HRO, alafu kucha kutwa mnasimama majukwaani watumishi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
  5. MsLisa

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu

    Hello, Tunatoa mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu ili kuwezesha kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Jinsi ya kutumia digital tools kuandaa graphs, diagrams na kupata step by step solution using AI tools. Mawasiliano : 0689917513
  6. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mtanzania miongoni mwa walimu 50 bora duniani

    James Kidiga David United Republic of Tanzania - Kiara secondary school James’ journey towards becoming a teacher started in primary school. Knowing the importance of learning, he saw that many children do not get a quality education due to scarcity of teachers, poverty, early marriage, and...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule ni la nani?

    Wakuu, Nani ana jukumu la kuweka mazingira ya shule safi? Ni walimu, wanafunzi au watu maalum wa kufanya usafi? Shule hasa za serikali wanafunzi ndio huwa wanakuwa na jukumu la kufanya usafi kwenye mazingira ya shule kwa kufagia uwanja, ofisi za walimu, kusafisha vyoo na hata wakipewa adhabu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Walimu wa sekondari wanatafutwa, wa masomo ya Hisabati na Sayansi Biology, physics na Chemistry (Part time)

    Habari wadau. Binafsi ni mmiliki wa app ya kufundisha tution za masomo kwa njia ya mtandao Ninatafuta walimu wenye uwezo mkubwa wa kuelewa na kufundisha masomo ya o level. Na shule ya msingi somo la hisabati. Masomo hayo ni hisabati, physics, chemistry na biology only. Kazi ni part time...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Walimu 1832 wa Madarasa ya Awali Wapata Mafunzo Kuhusu Utekelezaji wa Mtaala Mpya wa Elimu Nchini

    WALIMU 1832 wa madarasa ya awali ambao wameshiriki mafunzo ya Mtaala wametakiwa kuwa watekelezaji wazuri wa Sera iliyoboreshwa yenye kujumuisha mtaala mpya wa elimu nchini. Agizo hilo limetolewa leo Novemba 19, 2023 na Naibu Katibu Mkuu Or-TAMISEMI Dk.Charles Msonde wakati akifunga mafunzo ya...
  10. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

    Kuna tetesi kuwa serikali iko mbioni kuwapandisha madaraja walimu walioajiriwa miaka ya 2014 na 2015 ambao walikutana na mkono wa chuma wa JPM. Kama ni kweli, naona kabisa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi 2025.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoni Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio. Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimelalamikiwa na Wanafunzi na Walimu shuleni hapo. Shule hiyo ya binafsi ipo Kilometa 10 kutoka katikati...
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilia kati huu upigaji wa billion 7.2 za Walimu

    Ni upumbavu mkubwa wa Hawa viongozi wa CWT wakiendelea kuwaibia walimu, naomba serikali isikae kimya juu ya Ili suala. Hiki chama hakina tija kwa walimu zaidi ya kuwanyonya na kuwanufaisha watu wachache wasiojielewa. Tokea 2017 chama kimekua na migogoro Mingi mno kwa sababu kuiba CWT imekua...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu wasotea mshahara miaka 11 Shule ya Wazazi CCM

    Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa. Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
  15. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Walimu waliosimamishwa kisa "honey" warejeshwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Serikali kuwarejesha kazini Walimu wakuu wa Shule za Msingi zilizopo Tunduma Mkoani Songwe waliovuliwa vyeo baada ya kusambaa kwa video ikiwaonesha Wanafunzi wakicheza wimbo wa Msanii Zuchu uitwao ‘Honey’. Spika...
  16. SHANTI

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Sakata la Walimu kufukuzwa kule Tunduma kisa wimbo wa Zuchu "Honey" ni Kipimo cha Mawaziri Vilaza wa Nyakati za Sasa

    Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida. Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Malezi duni na Ugumu wa maisha chanzo kwa wanafunzi wa kike kujirahisisha kwa walimu

    Wanafunzi wa kike wakisubiri usafiri jijini Dar es Salaam, wanafunzi wengi wamekuwa wakijichelewesha vituoni, huku wakidaiwa kuchagua mabasi ya kupanda. Picha na Sunday George Wakati uzoefu ukionyesha walimu kuwanyanyasa kijinsia wanafunzi wao wa kike, imebainika katika baadhi ya nyakati wapo...
  20. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kushambulia kwa mawe Ofisi za Mtaaluma Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda kunatoa taswira gani kwa walimu na wanafunzi shuleni hapo?

    🥲
Back
Top Bottom