Muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde, miundombinu yake ni hatari kwa Wanafunzi na Walimu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.

Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha kuendeleza harakati za utoaji wa elimu, kwani tangu ilipopatwa na maporomoko yaliyotokana na mvua kubwa haijafanyiwa marekebisho.

Mafuriko hayo yalitokana na mvua kubwa ya Mwaka 2011 tangu wakati huo haijawahi kuwa sawa kimuonekanao.

Same.jpg

Same1.jpg

Same2.jpg

Same3.jpg

Same4.jpg

Majibu ya Serikali haya hapa
 
Sema hii nchi ya siasa sana, kipindi cha JPM alisema anajenga shule zote, akaja SSH nae akasema anajenga shule nchi nzima, ila unfortunately bado shule za ajabu zipo aisee.
 
Miaka 60 ya uhuru na bado hamjasema mpaka ifike 100
 
Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro.

Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha kuendeleza harakati za utoaji wa elimu, kwani tangu ilipopatwa na maporomoko yaliyotokana na mvua kubwa haijafanyiwa marekebisho.

Mafuriko hayo yalitokana na mvua kubwa ya Mwaka 2011 tangu wakati huo haijawahi kuwa sawa kimuonekanao.

Hii ni shule au banda la mbuzi?
Acha utani mleta mada
 
Siyo serikali ione aibu ila raia waone aibu.

"Usiulize serikali imekufanyia nini, sema wewe umeifanyia nini serikali".

K i la mwaka watoto wanaongezeka katika mashule na uhitaji wa shule unaongezeka kila mwaka.

Sasa badala ya raia kujijengea shule wao wanasubiri serikali ijenge wakati kazi ya kuzaa ni yao..🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom