walimu

  1. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Walimu 3 wa Garrisa wameuawa mapema leo na watu wanaoaminiwa kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabaab

    Habari za punde zinasema watu 3; wote walimu wamauawa mapema leo kufuatia uvamizi watu wanaoaminiwa kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabaab. Tukio hilo lilitokea 3 am Jumatatu, Januari 13 katika Kamuthe Resource Centre mjini Garissa. Katika shambulizi hilo mnara wa kampuni ya mawasiliano ya...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Kibano wanafunzi watoro chawadia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha waraka kudhibiti utoro shuleni ambao pamoja na mambo mengine, utapunguza siku na kuwa chini ya 90. Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki jijini hapa na Mkurugenzi Msaidizi Msingi na Uendelezaji wa Sera wa Wizara...
  3. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwalimu mkufunzi wa walimu wa nursery haraka

    Habari ndugu zangu! Ninahitaji Mwalimu mzoefu anaeweza kumtrain Mwalimu wa kawaida wa shule ya msingi kupitia crash program ya wiki tatu nimlipe kisha tuachane naye! Kama upo unajitambua na unajielewa tuwasiliane kwa wasap +255625602588 Ahsante
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete ashangaa Walimu kukosa ajira

    Sasa mimi namkumbusha tu Mzee wangu kwamba nini walimu bhana ! Kwa ujumla Tanzania haina ajira kwa vijana , kuanzia madaktari hadi wahasibu . Nchi yeyote isiyotoa ajira kwa raia wake yenyewe wala nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wake ambao ni wachache kuliko wafanyakazi wa nchi yeyeto...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa kumfundisha mwanamke aishi vipi kwenye ndoa ni wanaume na sio wanawake?

    Wanaume wengi wawe viongozi wa dini au wa kijamii au wa mitaani ndio huwa wanakomalia kufundisha mwanamke anavyotakiwa kuishi na mwanaume. Ukienda Misikitini unakuta Maimamu na Mashehe ndio walimu wa kumsomesha mwanamke aishije na mwanaume. Ukienda kwa Wasabato unakuta wanaume ndiyo walimu...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Waitara anakubali kuwa kuna upungufu wa walimu na ajira zilisimama

  7. N

    JamiiForums Tanzania Walimu Lindi wanateseka, Jumamosi na Jumapili kwao zimekuwa siku za kazi

    1. Tangu mwaka huu uanze, Jumamosi imekuwa ni sehemu ya siku za kazi....si hiyari bali kwa shuruti kubwa. Mitihani yote, iwe midterm, mock ya aina yoyote, siku ya Jumamosi imekuwa ndani ya ratiba ratiba! Kwa baadhi ya shule za msingi, kazi zinafanyika hadi Jumapili.....Mitwero Primary School...
  8. Puna

    JamiiForums Tanzania Tuelezane changamoto tunazokutana nazo walimu na namna ya kuzikabili.

    Tukiwaambia mtupatie teaching allowance hamtaki,mtuongezee mishahara hamtaki, kutupandisha madaraja hamtaki.Basi muanzishe uhamisho wa dharura pale Mwalimu anapokutana na changamoto hizi:- 1.Kuachia ushuzi wa Sauti.Hapa ushapiga ugali wako kwa njugu mawe,ukashushia na Mtindi alafu uko class...
  9. Tracer

    JamiiForums Tanzania NAOMBEN MSAAADA JUU YA VYUO VYA DIPLOMA VYA KUJAZA KATIKA SELFORM KIDATO CHA NNE

    Samahanin wakubwa.... NINA SWALI MOJA HIVI... .. ... ... Wakat wa kujaza selform form 4 unapewa na karatas flan hiv linakua limejazwa vyuo mbal mbal vinavyotoa diploma .. .. Sasa nauliza je, Unaruhusiwa kujaza vyuo vingine tofaut na vile vilivyopo qwenye lile karatas?? .. .. Mfano nikajaza...
  10. hashimrashidy

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa 'Online Teachers Applications System(OTEAS)' upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea

    Muhimu 1. Hakikisha upo katika internet nzuri. 2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb. 3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual. 4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019. Kila la kheri DICT TAMISEMI. 04.03.2019 BONYEZA HAPA CHINI KUPATA...
  11. hashimrashidy

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa *Online Teachers Applications System(OTEAS)* upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea.

    *Muhimu* 1. Hakikisha upo katika internet nzuri. 2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb. 3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual. 4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019. Kila la kheri DICT TAMISEMI. 04.03.2019 BONYEZA HAPA KUPATA MAELEKEZO...
Back
Top Bottom