Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.

Screenshot 2023-12-23 170029.png
 
Njaa mbaya sana.
Nawakumbusha tu walimu kuwa posho ya MWALIMU mkuu wa umma ni ndogo, inazidiwa na posho ya mlinzi wa umma wa form four au darasa la saba.
Elfu 250 au laki na 50 isiwafanye wasahau kudai haki zao.
MWALIMU mkuu ni kama meneja wa TARURA, TAN ROADS , TEMESA , SIDO, TPA n.k ambao wanalipwa mamilioni ya posho na hupewa magari na dereva.
 
Maendeleo ya kweli yataendelea kua hadithi ya kufikirika kwenye nchi Tanzania miaka nenda rudi
 
Kweli walimu ndio wametufundisha lakini kumbe nilikua sijui kama ni mata hira
 
Ninawapongeza sana TAHOSSA kwa kugundua bado tunahitaji uongozi wa mama Samia kwa miaka mingine mingi. Ikiwapendeza wabunge wetu wafanye kitu kwenye katiba ili kukidhi mahitaji ya wananchi wengi tunaotaka mama aongoze hadi 2040
 
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.

View: https://www.instagram.com/p/C1EuGCZN-9U/

Kichwa cha habari kinasema Walimu.....!

Ukiingia ndani unakitana na Umoja wa walimu wakuu nchini (Tahossa).....!!

Moderator, unganisheni huu uzi na ule mwingine. Maana hauna jipya. Ulishaletwa tayari humu jukwaani.
 
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.

UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.

Inapendwa pesa. Kama amewaachia wapige pesa za miradi na capitation kwanini wasichange . Hii ndiyo bongo nchi ambayo Ina Rais,makamu,waziri mkuu,naibu waziri mkuu na waziri wa nishati lakini tanesco inapewa maelekezo ya umeme kukatika na katibu itikadi na uenezi.
 
Back
Top Bottom