walimu

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Walimu wa Tanzania hawajitambui?

    Habari! Walimu ndio wenye number kubwa katika utumishi wa umma wakifuatiwa na wanajeshi, polisi na kada zingine. Zamani nikipohoji kwanini maslahi ya Walimu ni kidogo nikaambiwa kwakuwa idadi yao ni kubwa hivyo kama ukiwalipa pesa nyingi serikali itakuwa na mzigo mkubwa zaidi. Hili jibu kumbe...
  3. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Uongozi shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda mtukumbuke walimu wa kujitolea-Part time teachers

    Chondechonde mkuu wa shule, kamati ya uongozi na bodi ya shule ya Sekondari Nyiendo tunawapigia magoti kwa huruma yenu mtusaidie kuhusu mambo yafuatayo. 1. Malipo ya mishahara yetu sasa tunaelekea ndani ya miezi minne hatujalipwa mishahara yetu.Sisi kama binadamu tuna wategemezi,tuna familia...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

    Walimu ni miongoni mwa raia wenye uelewa wa kutiliwa mashaka. Jamii inatarajia mambo makubwa kutoka kwa walimu lakini hawa viumbe wameshindwa kabisa kuishi maisha yanayoendana na taaluma yao pamoja na heshima wanayostahili katika jamii. Na mwaka huu kama hawatabadilika, watateseka sana. Baada...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana

    Mohamed Mchengerwa unaaminika ni waziri mchapakazi, tumekuandikia mara nyingi humu kwamba kuna ubaguzi kwenye Halmashauri zetu, mm nimetoa mfano wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, hakuna mabadiliko yoyote mpaka sahivi, baadhi wamelipwa na wengine hawajalipwa. Wakati huo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaajiri Walimu wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo

    Serikali kupitia OR TAMISEMI inawajibu wa kuwaajiri walimu hususan wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo bila kujali masomo waliosoma. Walimu hawa wengi wao wapo mitaani wakirandaranda huku na kule ili kuwezesha mikono yao iende kinywani. KWANINI SERIKALI IWAAJIRI WALIMU HAWA KWA MKUPUO? 1...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

    Heri ya mwaka mpya watu wangu wa nguvu. Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi. Naomba niseme kuwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2024. Sikuwa nimepanga kuweka uzi hapa JF mapema hivi ila imenibidi nifanye hivyo baada ya kupokea ujumbe huu wa onyo kwa njia ya WhatsApp...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ninawapenda sana walimu wangu

    Japo ni miaka mingi sijaonana na wengi wao, lakini ningali nikiwakumbuka sana. Wapo walionifundisha shule ya Msingi, wengine Sekondari, wengine High School na wengine Chuo Kikuu. Wote hao ni walimu wangu na ninawaheshimu wote. Kama ningetakiwa nitoe kipaumbele katika kuwaheshimu, ningeanzia na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa walimu Tunduru tumeshindwa kwenda likizo; Mkurugenzi, maDEO na maafisa utumishi wao wamejilipa na wameenda likizo

    Mh.waziri wetu wa TAMISEMI sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tuli-submit maombi yetu ya kwenda likizo ya malipo mwezi wa 11 mwanzoni. Ilikuwa tuende likizo kujiunga na familia na ndugu zetu ktk sherehe za mwisho wa mwaka huu. Tunasikitika kukueleza kwa masikitiko...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Taarifa za kiutumishi wa walimu katika Tume ya Utumishi "TCSMIS" na Shahada za uzamiri

    Napenda kuipongeza tume kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakikisha walimu wanapatiwa huduma kuendana na mahitaji ya kiteknolojia ya sasa. Jambo hili kwa kweli linatia moyo na limeisogeza huduma mikononi mwa walaji. Masikitiko yangu makubwa ni kuona mfumo huu muhimu wa Taarifa za walimu ukiacha ombwe...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Hivi hili suala kuwahusu walimu lina ukweli ndani yake?

    Endapo Mpwayungu Village atapita hapa. Atasononeka sana, aisee!
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awapongeza Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari nchini kwa kuwatia moyo waathirika wa Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
  14. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Rais wa CWT Leah Ulaya atumika na genge la maadui wa walimu

    CWT ilizaliwa tarehe 1/11/1993 na mwaka huu Chama kimepanga kufanya kumbukizi ya miaka 30 ya umri wake jijini Mwanza. Kwa kawaida maandalizi ya shughuli kama hii hupangwa na Sekretarieti yaani rais, makamu wa rais, katibu mkuu, naibu katibu mkuu, na mwekahazina wa chama. Kisha mpango huo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Clouds wananufaika vipi na mgogoro wa chama cha walimu? Naona wamekusanya chawa studio, TUCTA iliuawa kwa njia kama hizi

    Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao. Tuliona namna Serikali...
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Maganga wa CWT aandaliwa kashfa ya ngono, chongolo ‘style’ kutumika

    Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho. Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
  17. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Walimu wanaojitolea kufundisha kipindi cha likizo wapongezwe, wazazi msisite kuchangia chochote

    Nimefungua huu uzi baada ya kuona "dokezo" hili lililopostiwa hapa JF... https://www.jamiiforums.com/threads/walimu-shule-ya-mpanda-day-wanalazimisha-wazazi-tulipe-hela-ya-twisheni-wakati-wa-likizo.2163945/unread Nipo hapa kupinga hili dokezo kwa nguvu zote kwa sababu haliendani na uhalisia wa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde, miundombinu yake ni hatari kwa Wanafunzi na Walimu

    Huu ndio muonekano wa Shule ya Msingi Kugulunde iliyopo katika Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro. Shule hii ya Serikali haina miundombinu inayoridhisha kuendeleza harakati za utoaji wa elimu, kwani tangu ilipopatwa na maporomoko yaliyotokana na mvua kubwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni kweli Desemba walimu wa 2014 na 2015 watapanda vyeo walivyopunjwa?

    Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo. Je, kuna ukweli wowote?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Wizara ya Elimu; Walimu wa hisabati shule za msingi hawapo

    Uhakika wa uchunguzi uliofanywa ktk shule za mkoa wa Dar es salaam ulio na walimu wengi umeibua chanzo kikubwa cha kufeli kwa wanafunzi somo la hisabati katika matokeo ya mtihani wa taifa kuwa ni uhaba mkubwa Sana wa walimu wa somo la hisabati ambapo walimu karibia wote wanaofundisha somo la...
Back
Top Bottom