DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.

Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.

Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa.

Naomba tu na hili litiliwe maanani kama lile swala la kunguni lilivyofanyiwa kazi
 
Mara ya kwanza naingia vyoo vya Udom, niliamini wazungu hawakukosea kutufananisha na Nyani!

Unakuta chumba cha choo kimejaa mavi hadi mlangoni na bado watu wanaenda kujaza mzigo humohumo.
Tatizo wanafunzi wenyewe ,unakuta chuo na boarding watu wanavunja koki ,uchafu kila kona kama vyoo vya bar.
 
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.

Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.

Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa.

Naomba tu na hili litiliwe maanani kama lile swala la kunguni lilivyofanyiwa kazi
Kwa nini msifanye mawasiliano na bwana Albert Chalamila RC wa Daslam awaletee wanajeshi kufanya usafi wa viwango visivyomithilika hapo chuoni?Atawashukia kwa wema mwingi na spidi ya ambulance.
 
Kitendo cha udom kuchukua kila mwanafuz ..huwa n cost kubwa sn...yaaan kuna watu unakuta wametapika...mara misos imetupwa had bafun...kiukwel hata level ya ustaraabu pale udom miongon mwa wanafuz n mdogo sn..?
 
Watanzania hawana kabisa utamaduni wa kuwa na vyoo visafi, kuanzia majumbani.

Vyoo ni shida Tanzania nzima, nilikwenda wizara fulani, baada ya muhusika kunigandisha nikaamuwa niende nikajisaidie nisepe, nilishindwa, ikabidi nijibane niende hotel ya karibu na hapo.
 
Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.

Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.

Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa.

Naomba tu na hili litiliwe maanani kama lile swala la kunguni lilivyofanyiwa kazi
Picha mpaka ajee Milardayo
 
Usafi ni jinsi ulivyolelewa, na Chuo ni wajibu wao pia wapambane na Usafi wa kila sehemu
Kuajiri watu hata 10 kwa ajili ya Vyoo tu ni muhimu
Na kila saa moja lazima kuwe na supervisor anaeangalia usafi na kusaini

Mbona sehemu zingine duniani wanapambana na usafi sana especially sehemu wanapokutana watu wengi?
Mifano mingi sana na ninaona watu na wenye makampuni au mashuleni au huduma za motorways wanavuofanya usafi

Hapo ni uzembe tu na hakuna wakaguzi
Kwa jinsi watu wanavyolalamika hapa ingekuwa nchi zingine Chuo kinafungwa na wanaelekezwa cha kufanya na faini juu
Kwa madikteta wengine wanafunzi wangeambiwa wakaweke mizigo kwa mkuu wa chuo
 
Kwanza inabidi wanafunzi wachungane wenyewe kwenye suala la matumizi mabovu ya vyoo.
Hata kama kuna wafanya usafi wanalipwa sio rahisi kila siku mtu mzima kwenda kusafisha kinyesi cha mtu mzima.

Mjitambue kwanza.
Tatizo UDOM wanaojiunga wengine wametokea vijijini wamezoea kujisaidia vichakani inabidi Chuo wanapojiunga kwenye orientation wiki nzima itumike kuwafundisha matumizi ya choo Cha kisasa
 
Tatizo UDOM wanaojiunga wengine wametokea vijijini wamezira kujisaidia vichakani inabidi Chuo wanapijiunga kwenye orientation wiki nzima itumike kuwafindisha matumizi ya choo Cha kisasa
Ila ni wajibu wa Chuo pia kuweka utaratibu wa usafi wa hali ya juu
Yaani kila saa watu wapo hapo kufanya usafi
Mbona wa kuangalia gardens wapo
Walipe watu kwa usafi au wafungiwe kwa mda akili iwakae sawa
 
Tatizo choo Cha Bure wangeanza kuwalipisha wanafunzi wangekuwa wengine wanajisaidia mara moja tu Kila baada ya siku mbili choo kuwa Bure kwao wanaenda Kila mara chooni utafikiri Wana vipindi vya masomo chooni
 
Back
Top Bottom